Waziri Mkuya: Tunakopesheka
Licha ya deni la taifa kuongezeka na kufikia Sh27 trilioni mwaka jana, Serikali imesema bado ina sifa za kuendelea kukopa kutokana na mapato ya ndani kuwa madogo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Apr
Waziri Mkuya ajikanganya
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-b-1eL1S8Ufg/Vfj6LBrAM8I/AAAAAAAB9jo/_mDOu5F7x3o/s72-c/mkuya0.jpg)
Waziri wa fedha , Bi Saada Mkuya azindua kampeni
![](http://3.bp.blogspot.com/-b-1eL1S8Ufg/Vfj6LBrAM8I/AAAAAAAB9jo/_mDOu5F7x3o/s640/mkuya0.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-jtGS0jt9aFI/Vfj6LunEYZI/AAAAAAAB9js/NhlKxDTeVKo/s640/Mkuya1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-xNaVCB_zm-s/Vfj6M1QqtWI/AAAAAAAB9j8/bIySHscNbgo/s640/mkuya3.jpg)
10 years ago
Habarileo11 Jun
Waziri Mkuya lawamani ‘kuzima’ umeme wa upepo
WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya juzi ameonja joto ya jiwe kutoka kwa wabunge kutuhumiwa ‘kuuzima’ utekelezaji wa mradi wa umeme wa upepo wa Singida unaogharimu Dola za Marekani milioni 133 sawa na Sh bilioni 266.
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
Waziri Mkuya ahimiza uadilifu kwa wafanyakazi
WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya, amewataka wafanyakazi wa wizara yake kujiepusha na vishawishi mbalimbali vitakavyochangia kutoa rushwa au kupokea. Alitoa tahadhari hiyo jijini Dar es Salaam jana wakati wa ufunguzi...
10 years ago
Habarileo20 Dec
Waziri Mkuya aonya ongezeko pato la taifa
WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya amezindua usambazaji wa takwimu zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio (hesabu) wa 2007 na kueleza kuwa pato la taifa kwa mwaka lilikuwa kwa Sh trilioni 26.8 ukilinganishwa na Sh trilioni 20.9 za mwaka 2001.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Waziri Mkuya aitaka NMB kupunguza riba
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya, ameuomba uongozi wa Benki ya NMB kuangalia jinsi ya kuwainua watanzania kwa kupunguza viwango vya riba. Mkuya aliyasema hayo mwishoni mwa wiki katika...
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Waziri Mkuya: Utegemezi unakwamisha miradi mingi
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Waziri Mkuya akana wahisani kusitisha misaada
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUYA AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI MAREKANI