Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri mpya wa usalama aapishwa Kenya

Waziri mpya wa usalama nchini Kenya, Joseph Nkaissery leo ameapishwa rasmi na kuanza kutekeleza wajibu wake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mswada mpya wa usalama Kenya

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ametia sahihi sheria mpya ya kukabiliana na maswala ya usalama nchini, ambapo maafisa wa usalama watasikiliza mawasiliano ya simu ya watu hata bila kuwaarifu.

 

10 years ago

Mwananchi

Obama akerwa na sheria mpya ya usalama Kenya

Marekani imeeleza kutoridhishwa na namna Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Usalama ulivyopitishwa nchini Kenya na namna Rais Uhuru Kenyatta alivyotoa maoni yake baada ya sheria hiyo kupita.

 

10 years ago

Michuzi

AG MPYA ZANZIBAR AAPISHWA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

 

9 years ago

Mtanzania

Waziri Mkuu Majaliwa aapishwa

maj1NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM

SIKU moja baada ya Kassim Majaliwa kuteuliwa na Rais John Magufuli na kuthibitishwa na Bunge kwa asilimia 73.5 kuwa Waziri Mkuu, jana aliapishwa kuanza kazi rasmi katika wadhifa huo.

Majaliwa, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, aliapishwa na Rais Magufuli majira ya asubuhi katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Chamwino, mjini Dodoma na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa, wakuu wa vyombo vya ulinzi pamoja na viongozi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais mpya wa Zambia aapishwa

Edgar Lungu aapishwa mjini Lusaka kuwa rais mpya wa Zambia baada ya kushinda kwa kura chache

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais mpya wa Tanzania aapishwa

John Pombe Magufuli sasa ndiye rais mpya wa taifa la Tanzania baada kuapishwa mbele ya umati mkubwa wa watu waliojaa uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam wakiwemo viongozi wa mataifa mbalimbali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ghani aapishwa rais mpya Afghanistan

Ashraf Ghani ameapishwa kuwa rais mpya wa Afghanistan baada ya miezi sita ya mvutano na mpinzani wake

 

10 years ago

Michuzi

MKUU MPYA WA WILAYA YA NGORONGORO AAPISHWA

 Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Hashimu Shaibu akila kiapo cha utumishi mbele ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda  jana katika hafla iliyofanyika katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa huyochanzo libeneke la kaskazini blog

 

9 years ago

Mwananchi

Majaliwa aapishwa Dodoma, awa Waziri Mkuu wa 11

Rais John Magufuli leo amemwapisha Waziri Mkuu Mteule, Majaliwa Kassim Majaliwa katika sherehe za kufana zilizofanyika Ikulu ndogo ya Chamwino, Dodoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani