Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga haitaki mzaha tena ufunguzi

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wamesema malengo yao kwa msimu mpya wa 2015-2016 unaoanza kesho ni kuhakikisha wanashinda kila mchezo ili kuondoa doa la kufanya vibaya katika michezo ya ufunguzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Trump anasema China haitaki achaguliwe tena

Rais huyo wa Marekani anasema kwamba Bejing inakabiliwa na 'athari' mbaya kutoka kwa Marekani kuhusu virusi vya corona

 

11 years ago

Mwananchi

Mzaha mzaha utumbua usaha milipuko ya mabomu Arusha

Usiku wa kuamkia Julai 8, mwaka huu, bomu la kutupa kwa mkono lililipuka katika mgahawa wa Vama Restaurant uliopo maeneo ya Gymkhana na kujeruhi watu wanane, miongoni mwao wakipoteza baadhi ya viungo vya mwili vilivyolazimika kukatwa kutokana majeraha mabaya.

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZA UFUNGUZI WA MAONYESHO YA NANENANE NA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI KITAIFA INAYOFANYIKA MKOANI DODOMA

 Wanafunzi wa shule ya msingi ya  Nhinhi wiyani Chamwino wakicheza ngoma ya kabila la kigogo wakati wa Uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya Unyonyeshaji maziwa ya mama kwa mtoto kwa miezi sita yaliyofanyika katika kijiji cha Nghwenda katika mfurulizo wa wiki ya hiyo inayofanyika kitaifa mkoani Dodoma


 Baadhi ya wanawake na wanaume wakiwa na watoto wao kwenye uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Unyonyeshaji kitaifa inayoendelea mkoani Dodoma yaliyofanyika katika kijiji cha Nghwenda kata ya Nhinhi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Uganda yaambia Tullow haitaki masharti

Serikali ya Uganda imesema kuwa haitashurutishwa kufanya kile ambacho kampuni za mafuta zinazochimba mafuta nchinio humo zinataka.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM haitaki mgombea wa kusafisha kwa dodoki

>Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema chama hicho hakitampitisha mgombea urais asiye na sifa na kuhangaika kumsafisha kwa dodoki ili atakate.

 

10 years ago

Mtanzania

Maximo basi tena Yanga

Kocha-wa-Timu-ya-Club-ya-Yanga-Maxio-MaximoNA MWANDISHI WETU, DAR ES SAALAM,

UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kukatisha mkataba wake na kocha wa timu hiyo, Mbrazil Marcio Maximo kuanzia sasa ukiwa ni uamuzi ulioafikiwa katika kikao kilichofanyika juzi Hoteli ya Protea, jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimekaa siku moja baada ya timu hiyo kuchapwa bao 2-0 na watani wao wa jadi, Simba katika mchezo wa Nani Mtani Jembe uliofanyika mwishoni mwa wiki Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Maximo anaondolewa katika kikosi hicho akiwa...

 

9 years ago

Habarileo

Yanga, Simba leo tena

MIAMBA ya soka nchini Simba na Yanga leo itakuwa kwenye viwanja tofauti katika mfululizo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

10 years ago

GPL

Juma Kaseja basi tena Yanga

Kipa namba mbili wa Yanga, Juma Kaseja. Na Wilbert Molandi
KIPA namba mbili wa Yanga, Juma Kaseja, imefahamika kuwa, amefikia kikomo cha kuendelea kuichezea timu hiyo inayojiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika (Caf). Awali, meneja wa kipa huyo, Abdulfatah Saleh, aliwahi kutamka kusitisha mkataba wa mchezaji wake, Kaseja wakati huu wa usajili wa dirisha dogo kwenye msimu huu wa ligi kutokana...

 

10 years ago

Mwananchi

Udhaifu wa Simba kuibeba tena kwa Yanga

Simba mwenda pole... Ndiye mla nyama. Au kwa lugha nyingine unaweza kusema Simba dhaifu ndiyo huwa inaifunga Yanga. Usemi huu umekuwa ukijidhihirisha mara nyingi Yanga na Simba zinapokutana hasa katika miaka ya hivi karibuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani