Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yashusha kifaa

HATIMAYE kiungo na nahodha wa FC Platinum ya Zimbabwe, Thabani Kamusoko ametua jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kusaini mkataba wa kujiunga na Yanga. Kamusoko alipokewa na Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh jioni kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), ambapo alipelekwa katika kikao na uongozi kwa mazungumzo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Simba yamtosa Mavugo, yashusha kifaa cha Italia

Klabu ya Simba imeachana na usajili wa mshambuliaji Laudit Mavugo kutoka Burundi ikitarajiwa kushusha mchezaji kutoka Italia kwa ajili ya kuimarisha safu yake ya ushambuliaji.

 

10 years ago

Michuzi

MAXIMO AJA NA KIFAA KINGINE CHA YANGA KUTOKA BRAZIL

 Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia mashabiki wake timu hiyo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere.  Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere.  Mchezaji mpya wa Yanga,Emerson Oliveira Neves Roque (katikati) mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere. Kushoto ni Andrey Coutinho
 Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves...

 

10 years ago

Habarileo

IPTL yashusha bei ya umeme

Sethi SinghKAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ikiwa chini ya uongozi wa Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP), imetangaza kupunguza bei ya umeme kwa asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo.

 

10 years ago

Vijimambo

SUMATRA YASHUSHA NAULI ZA MABASI

  Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini(SUMATRA),Gilliard Ngewe akizungumza na waandishi wa habari  kuhusiana na ushushwaji wa nauli za mabasi ya masafa marefu ofisini kwake jijini Dar es salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Udhibiti usafiri wa barabara,Geffrey Silinda akifafanua jambo kwa waandishi wa habari  katika ofisi za Mamlaka ya Uthibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) jijini Dar es Salaam,kulia ni  Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa...

 

11 years ago

Michuzi

J&M VIRGO YASHUSHA MALI MPYA

KATIKA KUHAKIKISHA KWAMBA WATU WANALIPUKA KISAWASA KWA KUPIGA PAMBA KALI (MAVAZI) KILA SIKU ,DUKA LAKO PENDWA LENYE VIWALO VIKALI NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM LIFAHAMIKALO KAMA J&M VIRGO,LIMESHUSHA MALI MPYA NA ZA UHAKIKA.
HIVYO FIKA DUKANI KWAO PALE MIKOCHENI KWA WARIOBA,JENGO LA C&G PLAZA GHOROFA YA KWANZA ILI UWEZE KUJIPATIA PAMBA KALI,POCHI BABKUBWA,MOKA ZA KISASA NA MICHUCHUMIO MIKALI KWA KINA DADA.
KWA TAARIFA ZAIDI TEMBELEA LIBENEKE LEO
KWA KUBOFYA HAPA

VIATU VYA KINA DADA

 

9 years ago

Mwananchi

Ewura yashusha bei ya petrol, dizeli

Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza kushuka kwa bei ya rejareja ya mafuta aina ya petroli ambapo kuanzia leo Desemba 2, petrol imeshuka kwa Sh28 kwa lita, sawa na asilimia 1.38, huku bei ya dizeli ikishuka kwa Sh56 kwa lita sawa na asilimia 2.96.

 

9 years ago

GPL

MBASHA LIVE NA KIFAA

Richard Bukos CHA KUFIA! Msanii wa muziki wa Injili Bongo, Emmanuel Mbasha, Alhamisi iliyopita alinaswa kwenye maongezi yaliyoambatana na pozi lenye maswali kwa kuonekana akichukua namba fastafasta kwa mrembo ‘kifaa’. Wakifurahia jambo. Mbasha alinaswa na kifaa hicho ndani ya Viwanja vya Ikulu jijini Dar ambapo kulikuwa na hafla ya kumpongeza Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli baada ya kuapishwa kushika nafasi...

 

5 years ago

CCM Blog

CORONA YASHUSHA MAPATO SEKTA YA UTALII TANZANIA

Kutokana na virusi vya corona vinavyoendelea kuisumbua dunia, Wizara ya Utalii na Maliasili imesema mapato katika sekta hiyo yameshuka kutoka Sh trilioni 2.6 zilizotarajiwa kukusanywa 
Pia taasisi zilizokadiriwa kukusanya zaidi ya Sh bilioni 132.1 zinatarajia kukusanya Sh bilioni 33.5 ikiwa ni anguko la asilimia 75.
Vilevile, Serikali imesema kama hali haitatulia hadi Oktoba, ajira za moja kwa moja katika sekta ya utalii zitashuka kutoka 623,000 hadi kufikia 146,000 na watalii watashuka kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

IPTL yashusha bei ya umeme kwa asilimia 20

KAMPUNI ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ikiwa chini ya uongozi wa kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP) imetangaza kufikia kwa punguzo la bei ya umeme la asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo huo ya masaa 36,000 ikifanya kazi, zoezi iliyokamilika ndani ya mwanka 2014. IPTL pia imetangaza kuwa bei yao ya umeme ikitarajiwa kushuka zaidi kulingana na kushuka kwa bei ya mafuta mazito. 
Marekebisho hayo yaliyotumia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani