Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yaw Berko agoma kurejea kwao

Kipa namba moja wa Yanga, Yaw Berko.
Na  Martha Mboma
KATIKA hali isiyo ya kawaida, kipa wa Simba, Mghana, Yaw Berko, amegoma kurejea kwao licha ya klabu hiyo kumalizana naye na kumpa kila kitu ambacho alikuwa akikihitaji baada ya msimu wa 2013-2014 kumalizika. Berko bado yupo nchini na anaendelea na maisha kama…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MDAU WA VIJIMAMBO AKIWA KIJIJI KWAO MKATAA KWAO MTUMWA

 Ustadh Maftah  wa New York akiwa Kilwa aliturushia hii kuonyesha kuwa mkataa kwao ni mtubwa hapa Ustadh Mafutah akiwa na shangazi yake Zureha bint Maftah wakielekea kisiwani kutoka Kilwa masoko Lindi.
 Hii ni ramani ya kisiwani, kisiwa hiki ni maarufu sana katika karne ya 9 kilikuwa kina milikiwa na sultan Ali bin Al-Hasan hapa ndipo palikuwa makazi yake katika karne hiyo ya 9 hadi karne ya 15.  Alijenga Msikiti mkubwa sana na alifanya kituo kikubwa cha kubairishia watumwa na kuwasafirisha...

 

11 years ago

GPL

Henry, Berko wamgomea Logarusic

Na John Joseph, Tanga WACHEZAJI wakongwe wa Simba, Henry Joseph na Yaw Berko, jana walisusa kwenda kwenye vyumba baada ya kipenga cha mapumziko kupulizwa. Wachezaji hao ambao wote hawakuanza kwenye mchezo dhidi ya Mgambo ambao timu yao ililala kwa bao 1-0, waligoma kwenda kwenye vyumba kama inavyotakiwa huku wakibaki wamekaa kwenye benchi wakilalamika. Wachezaji hao walionyesha kuwa kuna hali ya mambo ambayo haiendi vizuri kwenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Kipa Berko awatoa shaka Simba

Kipa mpya wa Simba,Yaw Berko amewatoa shaka mashabiki wa timu hiyo baada ya kusema yuko fiti kusimama langoni na kuhakikisha hakuna bao linalotinga wavuni wakati wa mchezo dhidi ya Yanga

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge agoma kujiuzulu

MBUNGE wa Bahi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Omar Baduel amesema hatajiuzulu kwenye nafasi hiyo, kutokana na kuandamwa na baadhi ya madiwani kwa tuhuma za kutumia vibaya fedha za mfuko wa jimbo. Alitoa kauli hiyo juzi kwenye kikao cha baraza la madiwani la halmashauri ya Bahi.

 

11 years ago

Habarileo

Magufuli agoma matuta

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesisitiza Serikali haitaweka matuta ya vizuizi vya kupunguza ajali katika barabara zote zilizoko nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Sure Boy agoma penalti

Kiungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’ ametaka kocha wake asijisumbue kumpanga katika orodha ya watakaopiga penalti endapo Azam FC itafikia hatua hiyo dhidi ya El Merreikh ya Sudan kesho kwenye Uwanja wa Nyamirambo.

 

10 years ago

CloudsFM

TIBAIJUKA AGOMA KUJIUZULU

“Mimi Nijiuzulu kwa sababu gani? yaani kwa sababu ya mafanikio ya kuwakomboa wanawake kwenye Elimu ndio mimi nijuzulu,maana kujiuzulu kunasababu, na hakuna sababu ya mimi kufanya hivyo na sitofanya hivyo kwani wanaodai mimi nijiuzulu ni wanafiki wenye nia mbaya na mimi ,na mimi sijiuzulu ng’o na nikifanya wanavyotaka Rais atashangaa ”alisema Waziri Tibaijuka.
“Leo natuhumiwa na kila mtu kwamba nimepewa pesa na Rugimalira kwamba ni za kifisadi,Jamani tuwe wa kweli kuhusu madai haya maana...

 

10 years ago

Mtanzania

Ngeleja agoma kung’oka

ngelejaSHABANI MATUTU NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala, William Ngeleja, ameendelea kushikilia msimamo wake kutojiuzulu nafasi yake hiyo kama ilivyoelekezwa katika maazimio nane ya Bunge.
Mbali na Ngeleja, katika azimio hilo la Bunge linataka Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Andrew Chenge na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Victor Mwambalaswa, waondolewe katika nafasi zao kutokana na kufaidika na mgawo wa fedha za...

 

10 years ago

Vijimambo

Kamishna TRA agoma kuhojiwa

Loicy Appollo, Naibu Kamishina Upelelezi wa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Naibu Kamishina Upelelezi wa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Loicy Appollo, anayedaiwa kupokea Sh. Milioni 80.8 katika sakata la Escrow, jana amegoma kuhojiwa na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kwa madai ya kuwepo kwa zuio la Mahakama Kuu.

Appollo anafanya idadi ya viongozi waliokumbwa na sakata hilo na kugoma kuhojiwa kufikia watatu baada ya viongozi wengine akiwamo
Mbunge wa Bariadi Magharibi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani