Zacharia: Niliomba utumishi kwa wananchi, siyo ubosi
Kata ya Endiamtu iliyopo Mkoa wa Manyara, ndiyo inayoongoza kwa kuwa na maendeleo wilayani Simanjiro. Kata hiyo yenye idadi ya watu 29,000 ina shule saba za msingi, ambapo tatu ni za Serikali na nne za watu binafsi, ina shule moja ya sekondari na ina kituo kimoja cha afya na zahanati moja ya taasisi ya kidini
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo503 Dec
Vikwazo wanavyokutana navyo wanaopewa ubosi kwa mara ya kwanza
Hii haishangazi sana kuona watu ambao wanapata cheo kwa mara ya kwanza kukutana na vikwazo vya hapa na pale. Utafiti uliofanya na watu fulani umebaini kuwa kinachotokea ni kwamba wengi au karibu asilimia 50 ya mabosi wapya kabisa hawajawahi kufanyiwa mafunzo ya kupata nafasi hizo kama mameneja. Na hapa soma uone vyanzo vya vikwazo vyao […]
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Iz3MTnPCiio/Xn3U4ex_exI/AAAAAAAAI6Q/hWhtRWrxAOQwOSphErnYmpIY7HKcbOtIgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200327_114357_848.jpg)
CCM HAKINA BEI YA BINADAMU BALI UTUMISHI KWA WANANCHI NDIO SILAHA MADHUBUTI ASEMA MASAWE
![](https://1.bp.blogspot.com/-Iz3MTnPCiio/Xn3U4ex_exI/AAAAAAAAI6Q/hWhtRWrxAOQwOSphErnYmpIY7HKcbOtIgCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200327_114357_848.jpg)
Kamati ya siasa wilaya ya Arusha mjini ukiendelea na kikao chake pamoja na kuwapokea waliokuwa madiwani wa kata za Ngarenaro na Sakina waliojiunga na chama hicho leo
![](https://1.bp.blogspot.com/--50D2gvqe6w/Xn3U3vmUxEI/AAAAAAAAI6I/8RGQaKMgIgM_SmEA5F0ymNcVqvh5ziATQCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200327_114637_691.jpg)
Viongozi wa ccm kata ya Ngarenaro waliomsindikiza aliyekuwa Diwani wa kata hiyo Isaya Doita kujiunga na chama hicho leo jijini Arusha picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha
![](https://1.bp.blogspot.com/-reFXqHv-0eA/Xn3U4PPPrNI/AAAAAAAAI6M/O_TKKSFFoCQsDJERu5qK8BvH2H6DI17tQCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200327_115939_024.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-6f_3OeqDzmI/Xn3MoBJeb8I/AAAAAAAAI5g/mlbcyOsheUIh53Fxye6HHj0Lpzw0nPd8wCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200327_114409_950.jpg)
Wajaumbe wa kamati ya siasa CCM ya halmashauri ya Jiji la Arusha kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa UWT wilaya hiyo Merry Kisaka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi...
11 years ago
Mwananchi07 May
Ni ‘vita’ baina ya serikali na wananchi na siyo upinzani
>Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini  mwaka 1992, hali ya kisiasa imekuwa ni ya mvurugano. Watawala, CCM wamekuwa wakilinda nafasi yao ili isichukuliwe na wapinzani.
11 years ago
MichuziWananchi wafurahia huduma za NHIF maonesho ya Utumishi wa Umma
11 years ago
Mwananchi20 Jul
Nyambui: Niliomba nifungwe miaka 100 jela
Kocha wa timu ya taifa ya riadha na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui amesema aliomba afungwe miakba 100 jela kama ikibainika anajihusisha na usafirishaji wa dawa za kulevya.
10 years ago
VijimamboWananchi wazidi kumiminika Banda la Mambo ya Nje Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
10 years ago
Mwananchi26 Mar
Miaka minne imepita :Hatujui walipo Lemy na Zacharia
Ni msiba usiofutika. Pengine ndiyo maneno yanayofaa kuelezea tukio la familia ya watoto wenye ulemavu wa ngozi, Lemy Juma (12) na Zacharia Juma (6) waliotekwa na watu wasiojulikana miaka minane iliyopita.
10 years ago
Mwananchi27 Mar
Miaka minane imepita: hatujui walipo Lemy na Zacharia(2)
 Juma Charles anaendelea kueleza kuwa baada ya tukio hilo alidhani watoto wake walipotea tu kawaida kutokana na kukimbilia kusikojulikana kwa hofu, lakini kadri siku zilivyozidi na matukio ya utekaji na mauaji ya albino kuzidi kuongezeka, hilo liliwatia hofu.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-duns1XOpzHQ/VRT7Wzg9VaI/AAAAAAAHNjY/KXHNAWrPKfA/s72-c/unnamed%2B(36).jpg)
KATIBU MKUU UTUMISHI GEORGE YAMBESI ASTAAFU UTUMISHI WA UMMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-duns1XOpzHQ/VRT7Wzg9VaI/AAAAAAAHNjY/KXHNAWrPKfA/s1600/unnamed%2B(36).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-SxNA-brbblY/VRT7WxYebMI/AAAAAAAHNjc/fQVdKoy45cY/s1600/unnamed%2B(37).jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania