ZAIDI YA BILIONI 25 KUTUMIKA MATENGENEZO YABARABARA
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akiruka katika mtambo wa kuchonga barabara wakati alipokuwa akikagua barabara ya Kahama - Solwa - Mwananga (km 148)inayokarabatiwa kwa kiwango cha changarawe, wilayaniKahama.
kazi zikiendelea za kukarabati barabara ya Kahama - Solwa -Mwananga (km 148) kwa kiwango cha changarawe, wilayaniKahama. Muonekano wa sehemu ya barabara ya Kahama - Solwa -Mwananga (km 148) kwa kiwango cha...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziZAIDI YA BILIONI 25 KUTUMIKA MATENGENEZO YA BARABARA
10 years ago
Dewji Blog20 Sep
TAMISEMI kuanzisha benki ya maendeleo, bilioni 50 kutumika
Mjumbe wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa, George Lubeleje ( wa tatu kulia).Picha na Maktaba.
Na Mwandishi wetu
Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa inatarajia kuanzisha Benki ya maendeleo ya Serikali za Mitaa ambayo pamoja na mambo mengine Jukumu lake la Msingi litakuwa ni Kutoa Mikopo yenye masharti nafuu kwenye Halmashauri kwa ajili ya kutekeleza miradi inayolenga kuchochea shughuli za kiuchumi, kuongeza ajira na Mapato ya Halmashauri ili kujiletea Maendeleo ndani ya Halmashauri na...
10 years ago
Dewji Blog23 Mar
Bilioni 4.75 kutumika Mradi wa Maji Masoko wilayani Rungwe
Na Johary Kachwamba-MAELEZO, DODOMA.
SERIKALI inatarajia kutumia shilingi bilioni 4.75 kwa mujibu wa mkataba, kama gharama za mradi wa Maji Masoko Wilayani Rungwe, na tayari fedha iliyokwishalipwa ni shilingi bilioni 1.27
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Amos Makala (pichani) alipokuwa akijibu Swali la Msingi la Mhe. Profesa. David Mwakyusa, Mbunge wa Rungwe Magharibi aliyetaka kujua msimamo wa Serikali baada ya Mradi wa Maji Masoko Wilayani Rungwe kutokamilika kwa...
10 years ago
VijimamboSh. bilioni 268 kutumika Uchaguzi Mkuu mwaka huu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, aliyasema hayo jana wakati akiahirisha Bunge mjini Dodoma na kuongeza kuwa maandalizi ya uchaguzi huo yanaenda vizuri.
Alisema vifaa mbalimbali kwa ajili kuufanikisha uchaguzi huo tayari vimeanza kununuliwa.
Pinda alisema kuwa miongoni mwa maandalizi ya uchaguzi huo ni uandikishaji wa daftari la kudumu la...
10 years ago
Mtanzania09 May
Sh bilioni nane kutumika kupanga upya Jiji la Mwanza
NA BENJAMIN MASESE, MWANZA
SERIKALI inakusudia kutumia Sh bilioni nane katika mpango wake wa kulipanga upya Jiji la Mwanza kwa kuainisha sehemu za makazi, viwanda, biashara na huduma za kijamii.
Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Mkurugenzi Msaidizi wa Mpango Mkakati wa Kuyapanga Majiji kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mahenge Amulike, wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau na viongozi wa Serikali wa sekta zote wa kupokea maoni na mapendekezo ya kuainisha maeneo...
10 years ago
MichuziBilioni 3 kutumika mwaka wa masomo 2014 — 2015 kutoka mfuko wa pensheni wa LAPF kwa wanachama wake.
Bilioni 3 kutumika mwaka wa masomo 2014 – 2015 kutoka mfuko wa pensheni wa LAPF kwa wanachama wake.
15 Septemba 2014, Dodoma: Wanachama wa mfuko wa penseni wa LAPF kunufaika na fao jipya lilozinduliwa hivi karibuni nchini kwa Baraka zake Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia.
Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’ limelenga kuwakopesha wanachama wa LAPF mikopo ya elimu ya juu kwani ni ombi la...
5 years ago
CCM BlogZAIDI YA TSH. MILIONI 700 KUTUMIKA KUJENGA KITUO CHA TIBA YA METHADONE
Waziri Ummy ameyasema hayo wakati akizindua kituo cha kutoa Tiba ya methadone kwa waratibu wa Dawa za kulevya ambapo Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya wamekijenga katika hospitali ya rufaa ya...
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Watu zaidi ya bilioni 2 hawana vyoo
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Serikali ya Tanzania yapokea zaidi ya Sh. Bilioni 10
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Doroth Mwanyika (kushoto) akitia saini mkataba wa ushirikiano wa Mpango wa Mageuzi ya Usimamizi wa Fedha za Umma (PFM) Awamu ya IV kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Balozi wa Finland nchini Bi. Sanikka Antila.
Na Eleuteri Mangi –MAELEZO
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea Sh. Bilioni 10.1 ambazo ni sawa na EURO milioni 4.8 kutika Serilkali ya Finland ikiwa kwa lengo la ushirikiano wa Mpango wa Mageuzi...