Zilivyokuwa siku tisa za sakata la Escrow
Watanzania kila kona walikuwa wakifuatilia mwenendo wa Bunge, licha ya kukatika kwa umeme kutokana na hitilafu zilizokuwa zikijitokeza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
10 years ago
GPLWANANCHI WAZUNGUMZIA SAKATA LA ESCROW
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Sakata ya Escrow leo jioni
10 years ago
Habarileo24 Nov
Pinda afunguka sakata la Escrow
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema taarifa nyingi za mjadala wa akaunti ya Escrow iliyofunguliwa kutokana na mgogoro wa malipo ya gharama za umeme kati ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) ambao unaendelea bungeni, umeongezwa chumvi na wakati ukifika Watanzania watatolewa taarifa kamili.
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Lissu amtaja JK sakata la escrow
10 years ago
Habarileo29 Nov
Wabunge waungana sakata la Escrow
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana lilikuwa moja dhidi ya utoaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), huku baadhi ya mawaziri wakitofautiana na taarifa ya Serikali ya utetezi wa suala hilo.
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Sakata la Escrow baadhi mahakamani
10 years ago
GPLCHENGE AZIDI KUHOJIWA SAKATA LA ESCROW!
10 years ago
Habarileo19 Dec
Rais Kikwete kuzungumzia sakata la Escrow
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kulihutubia taifa leo wakati atakapozungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam.