Matokeo ya Utafutaji
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Video: Show ya Shilole mbele ya Wazanzibari
Januari 2 2016 staa wa Bongo fleva na Bongo Movie Shilole aliungana na baadhi ya wasanii wenzake akiwemo Linah, Bonge la Nyau, Baba Levo, Bill Nass na wengine kisha kudondosha burudani kwa mashabiki wa Zanzibar. Hapa nimekusogezea full video ya show kuanzia mwanzo hadi mwisho, kuitazama bonyeza Play hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari […]
The post Video: Show ya Shilole mbele ya Wazanzibari appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Mtanzania02 Jan
Shilole achekelea kufuta tattoo ya Nuh
NA CHRISTOPHER MSEKENA
DIVA matata kwenye muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema anajisikia fahari kufuta tattoo iliyokuwa na jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Akibonga na Swaggaz, Shilole alisema kwa muda mrefu alikuwa kwenye uhusiano usio na maana, lakini sasa anafurahi kujiondoa kwa Nuh na kufanikiwa kufuta tattoo yenye jina la zilipendwa wake huyo.
“Ni maamuzi tu, huu ni mwili wangu kwahiyo wakati nilipokuwa naye niliamua kuandika jina lake na sasa nimeondoa...
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Shilole afanya pati ya aibu!
AMA kweli mapenzi yana sarakasi! Ndiyo kauli inayoweza kukuponyoka kufuatia tukio la staa anayebeba dhamana mbili katika sanaa ya Bongo, akitambulika kwenye uigizaji na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ambaye ameangusha bonge la pati ya aibu iliyojaa minong’ono kuwa ni sehemu ya furaha yake isiyo kifani ya kuachana na aliyekuwa mwandani wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, Amani lina kila kitu.
TUJIUNGE NYUMBANI KWA SHILOLE
Tukio hilo la aina yake lililohudhuriwa na baadhi ya mastaa...
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Shilole angusha pati ya kufunga mwaka
Shilole (katikati) akiwa amezungukwa na baadhi ya marafiki zake.
Shilole akicheza muziki huku baunsa wake akimshuhudia.
Baadhi ya warembo waliohudhuria pati hiyo wakiwa wamepozi.
Sehemu ya vinywaji na vitoweo vilivyokuwa vimeandaliwa na Shilole kwa ajili ya kuhakikisha anatimiza azma yake ya kufurahia na kusherekea siku chache za kufunga mwaka 2015 na baadhi ya wasanii na marafiki zake waliojitokeza mahali hapo,usiku wa kuamkia leo.
Waalikwa wakibadilishana mawazo kwa pozi tofauti.
9 years ago
Bongo Movies20 Nov
Niacheni na Fito Zangu-Shilole
Staa mrembo wa Bongo Movies na bongo Fleva Shilole ambae kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya wa 'Nyang'anyang'a' amefunguka na kuwataka watu ambao wanamkejeli kuwa ana miguu mibaya wamuache na miguu yake hiyo.
Shilole jana alipost picha kwenye Instagram ambayo ilikuwa ikionyesha sehemu kubwa ya miguu yake na baadhi ya watu walianza kusema kuwa afunike miguu yake hiyo kwani ni mibaya wengine walionyesha kupenda picha ile huku wengine wakimpa sifa kuwa ni mrembo, lakini hizo comment...
9 years ago
Bongo517 Nov
Snura: Shilole ni mtu wa kubwatuka hovyo
Baada ya Shilole kumkejeli Snura kwa kudai sio hadhi yake na asifananishwe naye, Snura amejibu mapigo
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EATV jana, Snura alisema ameshamzoea Shilole ni mtu wa kubwatuka.
“Ni yeye ndio amezungumza sio mashabiki. Kama wangeongea mashabiki kweli lingenigusa na kunifanya nijiangalie tena kwa mara mbili au mara tatu lakini yeye kama yeye ndio kaongea,” alisema.
“Lakini yeye ni mtu wa kubwatuka hovyo kwenye interview na kuponda. Ile ni dalili kwamba...
9 years ago
Bongo510 Nov
Nimewahi kushawishiwa nisafirishe unga — Shilole
Shilole amekanusha kujihusisha na kusafirisha madawa ya kulevya katika safari zake za nje lakini amekiri kuwahi kushawishiwa kufanya hivyo.
Muimbaji huyo alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV kuwa alikataa mtego huo kwakuwa hakupenda kuhatarisha maisha yake.
“Kiukweli ushawishi upo niache kusema uongo lakini kwa sababu binafsi na akili zangu timamu na najua nini nafanya basi huwa naweka tamaa pembeni na kuangalia kitu ambacho kina mwendelezo na maisha yangu,” alisema.
“Nikiwaangalia...
9 years ago
GPLSHILOLE KUMCHORA NUH KALIONI
9 years ago
Bongo505 Oct
Shilole apanga kumshirikisha Yemi Alade
9 years ago
Bongo Movies09 Sep
BASATA Kumtwanga Nyundo Nyingine Shilole!
Shilole anaweza akawa anafurahia bata za Marekani baada ya kutumbuiza kwenye show nchini humo, lakini bado BASATA haijamalizana naye.
Katibu Mtendaji wa baraza la sanaa la taifa, BASATA, Geofrey Mngereza ameiambia Radio 5 ya Arusha kuwa adhabu aliyopewa Shilole ya kufungiwa kutojihusisha kwenye masuala ya sanaa kwa mwaka mmoja haijafutwa.
Mngereza alidai kuwa adhabu iliyotolewa kwa Shilole imetokana na sheria na kanuni zilizotokana na bunge na kwamba kwa sasa wanakusanya ushahidi ili...