Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFANDE AACHA LINDO KUSAKA BODABODA

Afande akiwa amemdhibiti dereva wa bodaboda. Wasamaria wema wakijaribu kumbembeleza afande. Aafande akiwa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BODABODA AMSHIKA AFANDE KALIO,AKIONA!!

Dustan Shekidele, Moro Kibano! Mwendesha pikipiki almaarufu bodaboda aliyetajwa kwa jina la Juma Abdallah amekula kibano baada ya kudaiwa kumdhalilisha afande wa kike wa Jeshi la Zima Moto mkoani hapa, Winnifrida Kachota kwa kumshika kalio hivyo kuibua timbwili zito. Wananchi na bodaboda wenzake waliokuwa wakimtetea mwenzao. Tukio hilo lililoibua vita kubwa lilijiri nje ya ofisi ya Zima Moto mkoani hapa mwishoni mwa wiki...

 

10 years ago

Michuzi

JAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA

 Mlinda mlango Maganga Benjamin wa timu ya Bodaboda Wilaya ya Ilala, akiudaka mpira katikati ya wachezaji wa timu ya Jambo Leo 'Wagumu Stars' Zahoro Mlanzi (kushoto) na Ali Salum wakati wa Tamasha la Bodaboda lililofanyika kwenye Uwanja wa Ukonga Gerezani, Dar es Salaam. Mgeni rasmi katika tamasha hilo alikuwa Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa. Jambo Leo ilishinda mabao 2-1. Moja ya kizazaa langoni mwa Bodaboda FC iliyosababishwa na washambuliaji wa Jambo Leo Mshambuliaji wa timu ya...

 

11 years ago

Michuzi

TIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA

Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya Uigizaji Tanzania ambapo shindano hili litaanzia katika Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mwanza Kuanzia tarehe 5 April 2014 mahali ni Isamilo Lodge. Mdau Karimu Muhidin Michuzi na Baadhi ya vijana wa kazi katika timu ya kusaka vipaji wakiwa tayari kwa safari ya Mwanza. Mabasi yakiwa tayari kwa...

 

9 years ago

GPL

MAUREEN AACHA MKOROGO

Mshiriki wa Miss Tanzania 2005, Maureen Gislary. Mshiriki wa Miss Tanzania 2005, Maureen Gislary ambaye pia ni mcheza filamu, baada ya kujichubua na kubadili ngozi yake ameamua kuacha mkorogo kutokana na marafiki kumuonya kila kukicha. Rafiki wa karibu na Maureen alisema kuwa sasa ameamua kuacha mkorogo kwani hakuna aliyekuwa akimsapoti kutokana na kujichubua kwake.“Yaani marafiki tumesababisha mpaka Maureen ameacha mkorogo...

 

10 years ago

Habarileo

Mwandosya aacha wosia

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Mark Mwandosya ameaga rasmi ubunge na kutoa wosia kwa mawaziri watakaoteuliwa katika Serikali ijayo, kuwa wasikivu kwa wabunge, ili taifa lifikie maendeleo.

 

10 years ago

GPL

JACQUELINE NTUYABALIWE AACHA HISTORIA

Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, Dk. Reginald Abraham Mengi akiongea maneno ya kuapa na kumvisha pete ya ndoa Miss Tanzania mwaka 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe 'K-Lyn' wakati wakifunga ndoa. Mengi akimkumbatia K-Lynn kama ishara ya upendo.…

 

10 years ago

GPL

BIBI AFARIKI, AACHA GUMZO

Bibi Bhoke Rigamba Igenga enzi za uhai wake.
Stori: Igenga Mtatiro, Butiama
Unaweza kusema Bibi Bhoke Rigamba Igenga wa Kijiji cha (pichani), Mmazami, Kata ya Bukabwa, Tarafa ya Makongoro, wilayani Tarime amezikwa na ndugu waliotokana na tumbo lake 175 licha ya waombolezaji wengine.Mazishi hayo yamezua gumzo baada ya kushindikana ndugu zake wote hao kuweka mashada ya maua kaburini kwani kulikuwa na watoto wake 15, wajukuu 48,...

 

10 years ago

GPL

SHILOLE AACHA AIBU ULAYA!

Erick Evarist
STAA wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameacha aibu ya aina yake barani Ulaya baada ya gauni lake kuvuka na kuacha ‘nido’ zake hadharani, Risasi Mchanganyiko lina stori kamili. Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiimba kwa hisia. Tukio hilo lililozua gumzo katika mitandao mbalimbali ya kijamii, lilijiri usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita katika Jiji la...

 

10 years ago

GPL

SEREMALA AJINYONGA, AACHA MASWALI

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah
KATIKA hali ya kushangaza, mtu mmoja ambaye ni fundi seremala aitwaye Emmanuel Carlos, mkazi wa Kwabinyau Magomeni jijini Dar amekutwa akiwa amejinyonga saa mbili asubuhi Septemba 23, mwaka huu katika kile kinachodaiwa kuchoshwa na mgogoro wa kifamilia. Emmanuel Carlos enzi za uhai wake. Habari kutoka eneo la tukio zinasema kwamba, kwa muda mrefu, marehemu alikuwa na mgogoro...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani