Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFYA: Wapenda soda someni hapa

Kama wewe ni mteja wa vitu vitamu, bila shaka habari hii itakukera.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii someni hapa

SIKU zote Watanzania tumekuwa tukiamini kwamba maendeleo ya taifa letu hili bado ni duni sana. Pamoja na kilio chetu hiki cha uhaba wa maendeleo, leo nataka nizungumzie ugonjwa hatari wa saratani...

 

10 years ago

GPL

WANAUMEEEEEEE, SOMENI HAPA

HABARI za leo wapendwa wasomaji wa safu hii. Ni tumaini langu kuwa wote mnaendelea vyema na shughuli za kila siku, hasa katika wakati huu ambao tumetoka katika Sikukuu ya Pasaka, ambayo ninajua wengi wenu itakuwa imewakausha mifuko yenu, maana kama siyo wewe mwenyewe na mwenza wako, basi watoto walikaba koo kutaka mambo flani. Juzikati, nilipata sms moja kati ya nyingi ninazopata toka kwenu wasomaji wangu na baada ya kuisoma,...

 

10 years ago

Vijimambo

Michepuko Embu Ooneeni Huruma Ndoa za Wenzenu..Someni Hapa Jinsi ya Kuandika Meseji Kwa Jamaa yako ili Hata ikisomwa na Mkewe Isiwe Shida


Embu hili swala liangaliwe vizuri ili kutosababisha matatizo ktk ndoa za watu.Jana nimetoka kazini, nikakatext ka mchepuko ka kitambo kidogo.Mimi: Mambo vipi!Mchepuko: Poa tu mpenzi wangu.
Aisee nikashtuka nikaidelete sms haraka. Nikajiuliza vipi kama ingepokelewa na mke wangu.
Jamani michepuko ifike mahala mjue kabisa tuko na familia zetu, lakini pia tunawajali. Chondechonde msilainishe sms. Andikeni sms ngumu ngumu., ili hata ikisomwa kwa bahati mbaya na wake zetu wasilete shida.
Mfano:Mimi:...

 

11 years ago

Dewji Blog

HAPA Singida kutumia mil 485 kuboresha afya vijiji 62

DSC09601

Meneja wa shirika la HAPA la mkoa wa Singida, David Mkanje akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano ya vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 7.4 milioni kwa kijiji cha Mlandala kata Urughu wilaya ya Iramba.Vifaa hivyo vimetolewa msaada na shirika la HAPA. Kulia ni mwenyekiti wa kijiji cha Mlandala,Mahona Mahela na kushoto ni kaimu mganga mkuu wa wilaya ya Iramba, Dk.Antony Mburu.

Na Nathaniel Limu, Iramba

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Health Actions Promotion Association (HAPA)...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Vijana someni Katiba Inayopendekezwa’

Vijana wametakiwa kuisoma Katiba Inayopendekezwa kwa umakini na kuvielewa vipengele vilivyopo katika Ibara zote ili wafanye uamuzi sahihi.

 

10 years ago

GPL

MNAOPENDA KURUKA UKUTA SOMENI HII!

NI matumaini yangu wapenzi wa safu yetu maridhawa ya Love Story mko vizuri. Tunakutana tena katika maeneo yetu ya kujidai na kupeana mawili matatu yahusuyo mapenzi. Raha ya mapenzi ni pale yanapofanyika kwa nafasi na usalama. Kila mmoja akaendelea kufurahia uhusiano kwa maana ameridhika katika njia ambayo ni salama kwa pande zote mbili.Ndugu zangu, penzi linanoga pale linapomhusisha mwanaume na mwanamke katika njia ambazo hazina...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Dk. Sheni: Someni katiba na kuzielewa sheria


NA MWANDISHI MAALUMU, ZANZIBAR
WAKUU wa mikoa na wilaya wametakiwa kuisoma mara kwa mara na kuielewa katiba pamoja na sheria nyingine za nchi.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni, alitoa agizo na kusema wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kila siku, wanapaswa kuzingatia katiba na sheria.
Alitoa agizo hilo jana, alipokuwa akifungua mkutano elekezi kwa wakuu wa mikoa na wilaya za Zanzibar.
Alizitaja baadhi ya sheria ambazo wakuu hao wanapaswa kuzielewa na kuzitekeleza kila siku ni pamoja na...

 

10 years ago

Mwananchi

Someni ili mnufaike na gesi, mafuta

Wakati Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anaendelea na ziara yake ya siku tatu nchini Qatar na kazi kubwa ni kutafuta wawekezaji katika sekta ya mafuta na gesi wananchi mkoani lindi wamehimizwa kusoma ili waweze kuzitumia vyema fursa zitakazotokana na rasilimali hizo.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Wanafunzi someni fani zenye fursa’

Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira, imeandaa mpango wa kutoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali, ili kuwajenga wasomee fani zenye fursa za ajira.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani