Alshabaab:US yathibitisha mauaji
Wizara ya ulinzi nchini Marekani imethibitisha kwamba imemuua mojawapo ya viongozi wa kundi la wapiganaji wa Somalia Al Shabaab
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Nov
Wapiganaji 70 wa Alshabaab wauawa
Mamlaka kusini mwa Somali inasema kuwa zaidi ya wapiganaji 70 wa kundi la Alshabaab waliuawa katika mapigano siku ya jumamosi
10 years ago
BBCSwahili12 Sep
Wanajeshi 19 wa UG waliuawa na Alshabaab
Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema kuwa wanajeshi wake 19 waliuawa kwenye shambulizi lililoendeshwa na wanamgambo wa Al shabaab nchini Somalia na wengine sita bado wakiwa hawajulikani waliko.
11 years ago
BBCSwahili21 May
Jeshi la Kenya lawashambulia Alshabaab
Jeshi la Kenya limedai kuishambulia ngome ya Alshabab, Jilib, na kuwaangamiza baadhi ya wakuu wa kundi hilo la wapiganaji haramu.
11 years ago
BBCSwahili15 Feb
Alshabaab wapata silaha za serikali
Umoja wa mataifa wasema kuwa silaha za serikali ya Somali zimeingia katika mikono ya kundi la Alshabaab.
9 years ago
BBCSwahili14 Nov
Alshabaab lawaua wanajeshi 13 Somalia
Wapiganaji wa kundi la Al-Shabab nchini Somali, wameshambulia kambi yenye chuo cha wanajeshi kusini mwa nchi na kuwauwa wanajeshi 13.
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Kenya yamsaka mpiganaji wa Alshabaab
Maafisa wa polisi nchini Kenya wametoa zawadi ya dola laki moja kwa mtu yeyote atakayemkamata raia wa Ujerumani anayetuhumiwa kuhusika katika shambulizi la kundi la Alshabaab.
10 years ago
BBCSwahili01 Feb
Wapiganaji wa Alshabaab wauawa Somalia
Serikali ya Somalia inasema kuwa takriban wanamgambo 45 wa kundi la Al-Shabab wameuawa kwenye shambulizi la angani.
10 years ago
BBCSwahili22 May
Alshabaab yavamia tena vijiji 3 Kenya
Al-Shabaab yavamia vijiji 3 Kaskazini Mashariki mwa Kenya na kupeperusha bendera yao kabla ya kutimuliwa na maafisa wa usalama
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Alshabaab ladai kuwaua wapelelezi wa USA
Wapiganaji wa kundi la Alshabaab kutoka Somalia wanasema kuwa wamewaua watu wanne wanaodaiwa kuwa wapelelezi wa Marekani
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania