Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANA UJAUZITO WAKO? MSAIDIE KWA KUFANYA HAYA-2

Ni wiki nyingine tunapokutana tena kwenye ukurasa wetu huu mzuri, tukijuzana na kuelimishana mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita tulianza kuijadili mada ya nini cha kufanya ili kumsaidia mwenzi wako anapokuwa na ujauzito. Nakushukuru wewe msomaji wangu ambaye ulishiriki kutuma ujumbe wako na kutoa ushauri kwa msomaji Jackson wa Morogoro ambaye alikuwa akilalamika jinsi mkewe alivyobadilika tabia baada...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ANA UJAUZITO WAKO? MSAIDIE KWA KUFANYA HAYA

Uhali gani mpendwa msomaji wangu, ni matumaini yangu kwamba uko poa na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku. Karibu tena kwenye uwanja wetu huu tujadiliane na kuelekezana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Sote tunaelewa kwamba hakuna kipindi kigumu katika uhusiano wa kimapenzi kama pale mwenzi wako anaponasa ujauzito. Wanawake wengi huwa na mabadiliko makubwa ya tabia, hali inayowafanya wanaume...

 

10 years ago

Bongo Movies

VIJIMAMBO: Kwa Kauli Hii, Uwoja Ana Ujauzito?!!

Staa mrembo wa Bongo, Irene Uwoya amewaacha njia panda mashabiki wake baada ya kubandika picha mtandaoni akionekana yupo bafuni  akiwa amejishika tumbo na kuiandikia maneno akiwatata mashabiki wamtajiae majina mazuri ya kike.

“Ntajie majina mazuri yakike unayoyapenda.....”- Uwoya aliandika.

Kauli hii ilizua maswali mengi kutoka kwa mashabiki wakioji kama mrembo ambae ni mama wa mtoto mmoja kama anaujamzito au la, wengine walienda mbali zaidi wakisema kuwa inawezekana akawa ni mjauzito na...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Hemedy ana ushauri kwa wanaume wa jinsi ya kumfanya mpenzi wako asikuache kamwe!

Hemedy PHD amejifunza kuwa kutulia na mpenzi mmoja, kuwa mwaminifu, kumpa muda wako mwingi haitoshi kumfanya mwanamke awe na furaha. Akiongea na Round Up, Hemedy amesema amegundua kuwa kuna vitu vingine vinavyoonekana kuwa ni vidogo lakini ni sumu katika uhusiano. “Ni tabia ndogo ndogo za wivu, ukorofi, ni vitu ambavyo mimi nilikuwa navyo ambavyo nilikuwa […]

 

9 years ago

MillardAyo

Vifo vya wajawazito vimemgusa Mama Samia, ana haya mawili kwa wataalamu…

Makamu wa rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, headlines zake zinaendelea kunifikia mtu wangu, naomba ukutane na maneno yake najua utatoka na kitu…leo ni kuhusu wakina mama wajawazito kupoteza maisha wakati wa kujifungua. ‘Tanzania tumepiga hatua kubwa kwenye malengo ya Millenia lakini tumeshindwa kwenye vifo vya wakina mama wajawazito, tumepiga hatua kubwa kwa watoto […]

The post Vifo vya wajawazito vimemgusa Mama Samia, ana haya mawili kwa wataalamu… appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Agnes Masogange ana ujauzito wa Davido?

masogange4

Kama ni ‘kiki’ basi imefanikiwa, kwa sababu hadi mitandao ya Nigeria imeripoti kuwa kuna uwezekano Agnes Masogange akawa na ujauzito wa staa wa Naija, Davido.

masogange4

Agnes na Davido wameonekana kuwa karibu siku za hivi karibuni, baada ya kuwa wanapost picha tofauti tofauti wakiwa wanakula bata pamoja kama couple.

maso david

Mtandao wa Pulse wa Nigeria umeandika kuwa kuna uwezekano malkia huyo wa ‘shepu’ Bongo, Agnes akawa na ujauzito wa Davido baada ya kupost picha ya kipimo cha mimba kinachoonesha...

 

10 years ago

Mwananchi

Bendi imara zinawezekana kwa kufanya haya-Zahoro

Wanamuziki wengi wa muziki wa dansi wana sifa kubwa ya kuhama bendi moja kwenda nyingine na kuwa kama sehemu ya maisha au utamaduni wao hivyo kusababisha bendi nyingi kukosa uimara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fanya haya kupata ujauzito haraka

BAADA ya kufanya maandalizi ya muda mrefu kujiweka tayari kwa ajili ya kupata ujauzito na kuwa mzazi, umewadia wakati wa kuutafuta huo ujauzito kwa vitendo. Kuna mambo mengi sana yanayosemwa...

 

9 years ago

Bongo5

Ni marafuku wa Dogo Janja kufanya haya kwa wazazi wake

Dogo Janja hawezi kutoboa masikio au kujichora tattoo kama wasanii wengi wanavyofanya – lasivyo hatoweza kukanyaga kwao! Rapper huyo wa Arusha amesema akithubutu kufanya hivyo atakuwa ameikosea sana familia yake. “Baba yangu na mama yangu wakati naingia kwenye muziki waliniambia fanya muziki lakini usije ukatoboa masikio, usije ukachora tattoo,” alikiambia kipindi cha Siz Kitaa cha […]

 

9 years ago

Bongo5

Faiza Ally asema huenda ana ujauzito wa mpenzi wake Mmarekani

faiza AMzazi mwenzake na mbunge wa Mbeya mjini, Sugu – Faiza Ally, amedai kuwa huenda akawa ni mjamzito. Akizungumza kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Faiza alisema kutokana na hilo hadhani kama ataweza kurudiana na Sugu tena. “Sasa hivi nipo na mpenzi wangu na pengine naweza kuwa na mimba, not sure kwa sababu sijapima,” […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani