Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asasi zalaani waliomfanyia vurugu Warioba

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kwa kushirikiana na asasi nyingine za kiraia wamelaani na kukemea vurugu zilizofanyika katika mdahalo wa Katiba ulioandaliwa na taasisi ya Mwalimu Nyerere...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Warioba awasuta kwa Nyerere, vurugu zaibuka

Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Sinde Warioba jana alivamiwa na kikundi cha watu wachache waliohudhuria mdahalo wa Katiba wakati akihoji vitendo vya baadhi ya watu kutumia vibaya jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.

 

10 years ago

Vijimambo

HABARI KWA KINA VURUGU ALIYOFANYIWA JAJI WARIOBA

Jaji mstaafu Joseph Warioba akitolewa nje baada ya kutokea vurugu katika mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya Mwalimu Nyerere kwenye wa ukumbi wa Blue Pear jijini Dar es Salaam jana.Picha: Halima Kambi
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, jana alifanyiwa vurugu kubwa zilizosababisha kuvunjika kwa kongamano la kujadili mambo ya msingi ya kuangaliwa katika Katiba inayopendekezwa.

Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) na...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI ZA KIGENI ZALAANI KUKAMATWA WANAHARAKATI WA DEMOKRASIA HONG KONG

  Serikali za kigeni zimekosoa kukamatwa kwa wanaharakati 15 wa Hong Kong wanaopigania demokrasia na ambao wanatuhumiwa kwa kupanga na kushiriki katika maandamano ya kuipinga serikali mwaka jana.
Miongoni mwa waliokamatwa ni wanasiasa wakongwe, tajiri wa vyombo vya habari na wanasheria waandamizi. Chama cha Kimataifa cha Wanasheria kimesema maafisa wa Hong Kong hawapaswi kukiuka haki za binaadamu na mfumo wa kisheria lazima uweke ulinzi dhidi ya ukiukaji wowote wa mamlaka wakati ulimwengu...

 

9 years ago

Bongo Movies

Rayuu Afunguka Kuhusu Wanaume Wanne Waliomfanyia Mbaya Kisha Kumtosa Bila Kumuoa

NYOTA wa filamu Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amesema anajihisi kama mwanamke mwenye mkosi baada ya wanaume wanne alioshiriki nao mapenzi kuonesha nia ya kumuoa, lakini ghafla waliingia mitini na kupeperusha ndoto yake ya kuwa mke wa mtu.     Akipiga stori na gazeti la uwazi, muigizaji huyo alisema umri wake unamruhusu kuolewa na anafanya kila njia ikiwa ni pamoja na kutii maelekezo yote ya mwanaume ili kumvutia aingie naye katika ndoa, lakini kinachomshangaza hubadilika ghafla na kumpotezea...

 

9 years ago

Michuzi

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE

 Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.
Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, akipongezwa na wanaCCM katika mkutano wa kampeni...

 

9 years ago

Vijimambo

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA

Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.  PICHA ZOTE/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOGWaziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akizungumza wakati akiwanadi...

 

10 years ago

Habarileo

Asasi 7 zakunwa Katiba 'mpya'

MUUNGANO wa Asasi za Kiraia Juu ya Jinsia na Katiba (GFC), umesema Katiba Inayopendekezwa imezingatia mapendekezo yao kwa zaidi ya asilimia 90, hasa katika usawa wa kijinsia na haki za watoto. Aidha, umewataka wananchi kuacha ushabiki wa kisiasa na kufuata mkumbo wa kuipinga badala yake waisome na kuichambua kila kipengele ili waielewe.

 

9 years ago

Habarileo

Asasi ya Marekani yasaidia madawati

ASASI ya Joy Moja kutoka nchini Marekani imetoa msaada wa madawati yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni sita kwa Shule ya Msingi ya Kisongo kwa malengo ya kuboresha elimu shuleni hapo.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri kutembelea asasi za kisheria

NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki anafanya ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia leo katika Jiji la Dar es Salaam kutembelea asasi zinazotoa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani