Aveva, Wambura wazuia mshahara mpya wa Tambwe
![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfgds3dLZshprdFaA-Qpnv*zGLpjrMBCj15YBi2vX9FbX6WXMtw*GB8or70n*jtMatB4*Boy4bhuV3Xes-odseK7/wambula.gif?width=650)
Aveva alipowasili mtaa wa Msimbazi kwa msafara. Na Wilbert Molandi UONGOZI wa Simba umekubali kumuongezea mshahara mshambuliaji wake Mrundi, Amissi Tambwe, anayetishia kuihama timu hiyo kama maslahi yake hayataboreshwa kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara lakini ukasema itabidi awasubiri viongozi wapya.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Nov
Aveva: Tambwe haondoki Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i*tFWQTF2R*OHZ3TqPjn-AUggCuZNv5RFnB8u1DpMzfzRmYS7hlJxJVjUkDOyn1vB5NavTzFCmiwihj5WX6WX*F7*DDGCqd7/TAMBWE.jpg?width=650)
Tambwe: Nataka mshahara wa Okwi Yanga
11 years ago
GPLAVEVA NDIYE RAIS MPYA SIMBA SC
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/dZGLY0Odl9I/default.jpg)
RAMADHAN SINGANO ‘MESSI’ KAWA MCHARO…HUU NDIO MSHAHARA WAKE MPYA NDANI YA AZAM FC
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/11737180_920557287983039_2068690925_n1.jpg)
Stori kubwa leo hii ni aliyekuwa winga wa Simba SC, Ramadhan Singano ‘Messi’ kusaini mkataba wa miaka miwili katika klabu ya Azam fc, ikiwa ni siku mbili tu tangu TFF wavunje mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi.
Messi amesaini mkataba mnono kwa dau la milioni 50 na atakuwa analipwa mshahara wa Milioni 2 kwa mwezi.
Kabla ya kuingia katika mgogoro wa kimkataba na Simba, Wekundu wa Msimbazi walitaka winga huyo asaini mkataba wa miaka miwili kwa dau la milioni 30 na mshahara wa milioni 1.5,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q*0FqWTixVIO9O1j0D9FbHY7GiUoGXoIST31*GJVafMeJJK0NQOVIS0u7UPMLiOjQBVCoQMOE5OoHxfENgKwiRL701bmWI*M/UWAZI.jpg)
WAZUIA MAZISHI YA BIBI YAO
10 years ago
Mtanzania12 Mar
Wananchi wazuia msafara wa Kinana
NA ELIYA MBONEA, BAHI
MAMIA ya wananchi katika Kata ya Msisi, Wilaya ya Bahi, Mkoa wa Dodoma, wamesimamisha msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, wakitaka kupata ufafanuzi wa majengo ya Shule ya Msingi Msisi yaliyoezuliwa na mvua mwaka 2011.
Kinana alikutana na hali hiyo juzi saa 12:30 jioni alipokuwa akitoka katika vijiji vya Kongogo, Chonde, Irindi, Nguju na Lamaiti akielekea mjini Dodoma.
Kinana yuko mkoani Dodoma kushiriki shughuli za maendeleo, kukagua utekelezaji wa ilani...
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Uchaguzi Zanzibar wazuia mabilioni
11 years ago
Mwananchi29 May
Mwenge ‘wazuia’ mahabusi Mbeya
9 years ago
Mtanzania30 Sep
Wananchi wazuia msafara wa Lowassa
Na Fredy Azzah, Korogwe
MSAFARA wa mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, jana ulizuiwa na wananchi katika maeneo mbalimbali mkoani Tanga ambao sehemu nyingine walikuwa wamebeba madumu ya maji kumwonyesha jinsi wanavyotaabika na kero hiyo.
Tukio la wananchi kusimamisha msafara wake wakiwa wamebeba madumu ya maji lilijitokeza katika eneo la Mkata wilayani Handeni ambao wananchi hao walimwambia kuwa hiyo ni...