Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza la Walemavu kuzinduliwa Julai

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imepanga kufanya uzinduzi wa Baraza la Taifa la Walemavu Julai mwaka huu. Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Dk. Stephen Kebwe, alieleza hayo bungeni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Baraza la wenye ulemavu kuzinduliwa Julai

BARAZA la Watu wenye Ulemavu litazinduliwa rasmi mwezi Julai mwaka huu kwa ajili ya kuhudumia asilimia 13 ya Watanzania walio katika kundi hilo.

 

11 years ago

Michuzi

Kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Baraza la Wadhamini la CHADEMA,Dkt. Slaa kusikilizwa Julai 31

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Mahakamani 
MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imepanga kusikiliza mapingamizi ya awali ya pande zote mbili katika kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Baraza la Wadhamini la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Katibu Mkuu, Willbrod Slaa, Julai 31, mwaka huu.
Mheshimiwa, Jaji John Utamwa alisema kesi ilipangwa jana kwa ajili ya kutajwa na kwamba itasikilizwa mapongamizi ya awali ya pande zote mbili...

 

10 years ago

GPL

NEC: UANDIKISHAJI BVR DAR KUANZA JULAI 16-25, PWANI JULAI 7-20

Na Mwandishi -Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) lililoahirishwa katika jiji la Dar es salaam na mkoa wa Pwani hivi karibuni sasa litafanyika kuanzia Julai 7-20 kwa mkoa wa Pwani na Julai 16- 25 kwa jiji la Dar es salaam. Uboreshaji wa Daftari hilo kwa jiji la Dar es salaam na Mkoa wa Pwani uliahirishwa kutokana na kuchelewa kwa...

 

10 years ago

Habarileo

BVR Pwani Julai 7, Dar Julai 16

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Julius MallabaTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ambayo iliahirisha uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) katika Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani hivi karibuni, sasa imesema utafanyika kuanzia Julai 7 hadi 20 kwa Mkoa wa Pwani na Julai 16 hadi Julai 25 kwa Jiji la Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

WATOTO WALEMAVU MAHENGE WANUFAIKA NA MSAADA WA BAISKELI ZA WALEMAVU

MOROGORO,
Kampuni ya Kibaran Resources inayojihusisha na utafiti wa uchimbaji wa madini ya Uno kwenye Kijiji cha Epanko, imetoa msaada wa baiskeli 30 za walemavu kwa watoto wenye ulemavu katika kata ya Mahenge Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro. Baiskeli hizo zimeundwa maalumu kwa watoto wanaoishi vijijini. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi baiskeli hizo, Grant Pierce, ambaye ni mkurugenzi wa Kampuni ya...

 

10 years ago

Michuzi

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA IRINGA , SERIKALI YA TANZANIA YAPIGA MARUFUKU UJENZI WA MAJENGO YASIYO RAFIKI NA WALEMAVU

 Waziri  Lukuvi  akimkabidhi  mwanafunzi  wa shule ya Msingi Kipera Rahel Mwikonzi cheti  cha ushiriki mzuri wa siku ya  walemavumwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward BagandashwaKamishina  wa ustawi  wa jamii Bw Dunford Makala akitoa salam zakeWalemavu  nchini  wakiwa katika maandamano  leo  wakati wa kilele  cha siku ya  walemavu duniani kwa Tanzania maadhimisho hayo yamefanyika  mkoa  wa Iringa,kushoto ni mkalimani  wa  kujitolea  ambae ni Mtangazaji wa radio  Nuru Fm Bw ...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MTENDAJI BARAZA LA BIASHARA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WANAHABARI KUHUSU MKUTANO WA NANE WA BARAZA HILO UTAKAOFANYIKA DESEMBA 16 ZANZIBAR

 Katibu Mtendaji Baraza la Biashara Zanzibar Bw. Ali Haji Vuai wa kwanza (kulia) akizungumza na wandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa nane wa Baraza hilo, utakaofanyika Disemba 16 Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. Wandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Katibu Mtendaji Baraza la Biashara Zanzibar Bw. Ali Haji Vuai ofisini kwake Kinazini Mjini Zanzibar.Mwandishi wa Habari wa Radio Coconat Fm Tabia Makame akiuliza swali kuhusu Mkutano wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Umeme wa Samadi kuzinduliwa

Umeme wa Samadi unatarajiwa kuzinduliwa Afrika Mashariki

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tujiandae ya Nestori kuzinduliwa

MWIMBAJI wa nyimbo za injili, Mtanzania anayeishi nchini Australia, Mkuruta Nestori, anatarajia kuzindua albamu yake iitwayo ‘Tujiandae’ ikiwa katika mfumo wa DVD, shughuli itakayofanyika kwenye Kanisa la Victoria Living Church...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani