Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAVICHA: Ikataeni orodha feki ya CCM

BARAZA la Vijana la Taifa la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limeitaka Ofisi ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu na ushiriki wa uchaguzi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Bavicha yakemea kauli za CCM

Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), limekemea kauli mbalimbali zinazotolewa na viongozi wa CCM kuwa hawawezi kukabidhi nchi kwa wapinzani kwa madai kuwa hawajajipanga kwa uongozi.

 

11 years ago

Mwananchi

Bavicha ‘yaivaa’ CCM kero za Muungano

Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) , limeitaka Serikali ya CCM kuwaeleza wananchi sababu zilizoifanya kushindwa kuondoa kasoro zinazodaiwa kuwa kero kwenye Muungano kwa miaka kadhaa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA: Wananchi ikataeni Katiba

SIKU chache baada ya Bunge Maalum la Katiba kupitisha Katiba mpya iliyopendekezwa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewasihi Watanzania kuikataa punde itakapopelekwa kwao kwa ajili ya kupigiwa kura. Kimesema,...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

CCM: Ndoa ya wapinzani ‘feki’



 Yasema kuing’oa madarakani ni ndoto za alinacha Viongozi wa vyama vilivyoungana kila mmoja anatafuta ulaji Mangula awaonya viongozi wa wilaya kutowagawa wanachama
NA SELINA WILSON
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema  hakitishiwi nyau kuungana kwa vyama vinne vya upinzani kwa lengo la kuking’oa madarakani.

 Kimesema muungano huo wa wapinzani si halali na ni sawa na ndoa ya mkeka.
Pia kimesema ni ndoto za alinacha kwa wanandoa hao wa msimu, ambao kila mmoja anatafuta ulaji, kuing’oa CCM, ambayo...

 

9 years ago

Mtanzania

kada CCM akiri kuhusika na Chadema ‘feki’

masaburiNA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Didas Masaburi, amekiri kukutana na vijana wanaodaiwa kujifanya wafuasi wa Chadema walioandamana jijini Dar es Salaam kupongeza hatua ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, kuacha siasa na kushambulia chama chake.

Juzi vijana hao waliandamana wakiwa na lengo la kwenda makao makuu ya Chadema kabla ya kutawanywa na wananchi.

Tangu asubuhi ya jana, sauti ya Masaburi ilikuwa ikisambazwa kwenye mitandao ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti wa CCM Dar kizimbani kwa tuhuma za kusambaza ARV feki

Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Ltd cha Dar es Salaam (TPI), Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matano likiwamo la kusambaza dawa bandia na kusababisha hasara ya Sh148.3 milioni.

 

11 years ago

Dewji Blog

Uchaguzi wa BAVICHA watangazwa

JOHN HECHE BAVICHA KIKAO CHA KAMATI UTENDAJI BAVICHA PIX NO 1

Mwenyekiti wa Taifa, Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA), John Heche.(Picha na Maktaba)

Na Mwandishi wetu

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche, ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Septemba 10, mwaka huu kutokana na umri wake kuwa mkubwa.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Heche alisema anaheshimu Katiba ya chama hicho ambapo kutokana na umri wake kuvuka miaka 30, hatagombea tena nafasi...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

BAVICHA WATOA TAMKO

Katibu wa uenezi wa Baraza hilo la vijana BAVICHA Taifa Bwana EDWARD SIMBEYE akizungumza na wanahabari mapema leo juu ya hali ya mauaji ya mwenyekiti wa chama hicho mkoani Geita ALPHONCE MAWAZO na hatua ambazo watazichukua Na Exaud Msaka HabariBaraza la vijana la chama cha Demkocrasia na maendeleo chadema BAVICHA wametoa siku tatu kwa jeshi la polisi nchini kumwachia Mwenyekiti wa baraza

 

11 years ago

Tanzania Daima

BAVICHA waivaa serikali

BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (BAVICHA), limelaani kitendo cha wanafunzi wa darasa la saba kufaulu mitihani yao na kushindwa kupangiwa shule kwa ajili ya kuendelea na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani