Blatter achunguzwa na FBI kuhusu hongo ya $100m
Rais wa FIFA Sepp Blatter aliyesimamsishwa kwa muda anachunguzwa na shirika la ujajusi la Marekani FBI kuhusiana na rushwa ya $100m, uchunguzi wa BBC umebaini.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo507 Dec
Sepp Blatter achunguzwa na FBI kuhusiana na hongo ya $100m
Kipindi maalumu cha uchunguzi kinachojulikana kama BBC Panorama, kimeonesha ushahidi kwamba rais wa FIFA Sepp Blatter aliyesimamishwa kwa muda, anachunguzwa na shirika la ujajusi la Marekani, FBI.
Kuna kampuni ya masoko ya michezo inayoaminika kulipa mamilioni ya dola za Kimarekani kwa maafisa waandamizi wa FIFA katika miaka ya mwishoni mwa 1990 ili kupewa haki ya kutangaza michuano ya kombe la dunia.
Aliyekuwa ameshikia nafasi hiyo kabla ya Blatter, Joao Havelange, alikuwa ni miongoni mwa...
9 years ago
BBCSwahili25 Sep
Rais wa Fifa Sepp Blatter achunguzwa
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Blatter na Platini wafungiwa miaka 8 kutojihusisha na soka, Blatter achukua uamuzi huu
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Rais wa Shirikisho la Dunia la Soka (FIFA), Sepp Blatter (kushoto) na Rais wa UEFA, Michel Platini wamefungiwa miaka 8 kutojihusiaha na soka na kamati ya maadili ya FIFA kwa kosa la kutumia mamlaka yao vibaya kwa kosa la matumizi mabaya ya fedha za FIFA.
Blatter na Platini wanadaiwa kuwa mwaka 2011, kugawiana pesa kiasi cha Euro Milioni 1.35 ambapo Blatter alimlipa Platini kama malipo kwa kazi ya kuwa mshauri wa Blatter mwaka 1999-2002.
Licha ya kuwafungia miaka...
10 years ago
Habarileo19 Nov
Wazazi watoa hongo waonywa
SERIKALI wilayani Mpanda mkoani Katavi imeonya tabia ya baadhi ya wazazi ambao wanahonga baadhi ya walimu wa shule za msingi na sekondari ili wawafute watoto wao wa kike katika orodha ya wanafunzi kwa kisingizio kwamba wamekufa ili waweze kuwaoza.
11 years ago
BBCSwahili04 Jun
9 years ago
Habarileo30 Nov
Bakhresa achunguzwa
KAMPUNI ya Said Salim Bakhresa (SSB) inachunguzwa na vyombo vya dola kwa tuhuma za kushiriki kukwepa kodi na hivyo kuikosesha serikali mabilioni ya fedha kutokana na makontena yaliyohifadhiwa kwenye bandari yake ya nchi kavu (ICD) ‘kupotea’ bila kulipiwa kodi. Tayari Mamlaka ya Mapato (TRA) imepiga marufuku SSB kuingiza makontena katika bandari hiyo kavu ambako ndiko kunadaiwa kufanyika kwa vitendo hivyo vya ukwepaji wa kodi kutokana na baadhi ya makontena kupotea katika mazingira ya...
11 years ago
BBCSwahili31 Mar
Israel:Ehud Omert alipokea hongo
10 years ago
BBCSwahili28 May
Afrika Kusini yakanusha ilitoa hongo
11 years ago
BBCSwahili22 May
Moyes achunguzwa na polisi