Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunda kuwaburuta mahakamani Wachina

Bunda. Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, inakusudia kuwashtaki mahakamani, Wachina wanaokarabati kwa kiwango cha lami, Barabara ya Musoma - Simiyu kutokana na kitendo chao cha kuchimba madini ndani ya eneo la halmashauri hiyo bila kulipa fidia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

NSSF kuwaburuta mahakamani waajiri 34

Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkoani Morogoro unakusudia kuwafikisha mahakamani waajiri 34 kwa kushindwa kuwasilisha makato ya wafanyakazi wao.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wachina walitoa rushwa’

Raia wa China, Huang Gin, Xu Fujie na Chen Jinzha wamedaiwa kutoa hongo ya Sh30.2 milioni kwa polisi na askari wa wanyama pori ili wasipekue nyumba waliyokuwa wakiishi iliyo Mtaa wa Kifaru Mikocheni.

 

10 years ago

Mwananchi

Interpol yawasaka Wachina 30

Siku tano baada ya Serikali kukanusha vikali ripoti ya Shirika la Kimataifa la Mazingira (EIA) iliyoihusisha China na utoroshaji wa meno ya tembo nchini wakati wa ziara ya Rais wa nchi hiyo, Xi Jinping mwaka jana, Shirika la Polisi la Kimataifa (Intepol), Tawi la Tanzania limesema linawatafuta raia zaidi ya 30 wa China.

 

11 years ago

Habarileo

Wachina wavutana bandari ya Dar

UJENZI wa gati namba 13 na 14 katika Bandari ya Dar es Salaam umechelewa kutokana na sababu tatu, ikiwamo ya mzozo wa kampuni mbili za Kichina zilizowahi kusababisha mvutano kwa waliokuwa mawaziri wa Uchukuzi, Omar Nundu na Dk Athumani Mfutakamba.

 

11 years ago

Mwananchi

Wachina waahidi kulinda viwango

Chama cha Wafanyabiashara kutoka nchini China wanaofanya shughuli zao chini ya mwamvuli wa Kariakoo Chinese Chamber of Commerce (KCCC), kimetoa ahadi ya kulinda viwango vya ubora wa bidhaa zinazosambazwa na wanachama wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Wachina tisa walazwa, JK aagiza

Wakati raia tisa wa China wakibainika kuugua ugonjwa wa dengue na kulazwa hapa nchini, Rais Jakaya Kikwete amevunja ukimya na kuagiza wizara zake mbili kukabiliana na ugonjwa huo kwa dharura.

 

10 years ago

Habarileo

Wachina ‘waliozamia’ nchini wahukumiwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi KisutuRAIA watatu wa China wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya Sh 300, 000 baada ya kupatikana na hatia ya kuishi nchini na kufanya kazi bila kibali.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wachina wanaozungumza kiswahili China

Fatuma Halnur ni baadhi ya Wachina hapa wanaozungumza kiswahili pia. Fatuma, ambaye ni muislamu, ni mwanafunzi katika chuo cha Lugha za kigeni cha Beijing

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani