Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA majanga


NA HAMIS SHIMYE
BAADA ya kujaribu kuficha migogoro nyuma ya kichaka cha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), hatimaye bundi wa migogoro ameibuka tena ndani ya CHADEMA.
Kwa muda mrefu sasa, kumekuwemo mvutano kutokana na kile kinachodaiwa ukiukwaji wa Katiba na matumizi mabaya ya madaraka na fedha za chama.
Hatua hiyo ilisababisha baadhi ya viongozi wakiwemo wa ngazi za juu kuvuliwa uanachama na wengine kutimuliwa. 
Baadhi waliovuliwa uongozi ni aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe na...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAJANGA!

Chande Abdallah na Deogratius Mongela MAJANGA! Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers inayodili ya maeneo korofi kwa uovu, imewanasa vijana wa kike na kiume wakifanya vitendo vichafu vichochoroni, maeneo ya Mbagala-Zakheem, Dar. Vijana wa kike na wa kiume walionaswa wakifanya vitendo viovu uchochoroni.
Awali, OFM ilipokea malalamiko kutoka kwa wakazi wa maeneo hayo juu ya vijana hao kufanya ngono...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majanga bungeni

MAWAZIRI Profesa Jumanne Maghembe (Maji) na Dk. Shukuru Kawambwa (Elimu na Mafunzo ya Ufundi), wanadaiwa kuwahonga makundi ya wafugaji, wavuvi na wawakilishi wa elimu ya juu ili washikilie msimamo wa...

 

11 years ago

GPL

Kaseja majanga...

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja. Na Phillip Nkini
KIPA wa Yanga, Juma Kaseja, amesema yeye ni mzima wa afya na kukosekana kwake kwenye mechi dhidi ya Ashanti siyo ishu kubwa, lakini kocha wake amesisitiza aliamua kumfanya chaguo la tatu kutokana na kiwango. Kaseja alijiunga na Yanga baada ya kumaliza mkataba wake na Simba na kukaa nje nusu msimu bila kucheza, lakini juzi ukiwa ndiyo mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili wa ligi kwa...

 

11 years ago

GPL

WOLPER MAJANGA!

Jacqueline Wolper Massawe. Stori:  Gladness Mallya
SEXY lady katika tasnia ya filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amepata majanga baada ya gari lake kugonga gari lingine na vitu kibao kwenye siku ya ‘bethidei’ yake. Pichani (chini kushoto) ni…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Stars mpya majanga

TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, jana ilitibua furaha ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Burundi katika mechi ya kirafiki iliyopigwa...

 

10 years ago

Habarileo

Jopo la majanga lateta na WHO

Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Margaret Chan.JOPO la watu mashuhuri linaloangalia jinsi dunia inavyoweza kujikinga na kukabiliana na majanga ya magonjwa ya milipuko, chini ya Rais Jakaya Kikwete, limeendelea na kazi yake kwa kukutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Margaret Chan.

 

11 years ago

Mwananchi

Liverpool, Arsenal ‘majanga’

Vinara wa Ligi Kuu England, Arsenal leo wanaanza kuruka viuzi vizito vya Februari wakati wakapokuwa ugeniniAnfield kucheza mechi yake ya kwanza kati ya mbili dhidi ya Liverpool katika wiki hii.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uzee Tanzania ni ‘majanga’

WAHENGA walisema ”ujana ni maji ya moto”mimi ninaamini usemi  huu una ukweli, kwani kipindi cha ujana huwa kinapita kama maji ya moto yanavyopoa na kurudi kuwa baridi ambayo ndio asili...

 

9 years ago

Mwananchi

Ngoma, Tambwe majanga

Wachezaji wa Yanga, Mrundi  Amissi Tambwe, Nadir Haroub  ‘Cannavaro’ na Oscar Joshua wameshindwa kufanya mazoezi jana kutokana na kusumbuliwa na malaria, wakati Mzimbabwe Donald Ngoma akisumbuliwa na  maumivu ya nyonga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani