MAJANGA!
![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*WUJbVBLw3dkCamaGAXqKf992JNvXVQbniyMuK*70ixX2aoQG4s8WrIBNN4GZxzr*9awu6EVl5YNY-zAYmlGbvr/majanga2.jpg?width=650)
Chande Abdallah na Deogratius Mongela MAJANGA! Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers inayodili ya maeneo korofi kwa uovu, imewanasa vijana wa kike na kiume wakifanya vitendo vichafu vichochoroni, maeneo ya Mbagala-Zakheem, Dar. Vijana wa kike na wa kiume walionaswa wakifanya vitendo viovu uchochoroni. Awali, OFM ilipokea malalamiko kutoka kwa wakazi wa maeneo hayo juu ya vijana hao kufanya ngono...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-TI4uM2ffQhbnrE6Otd9mBdel2HNkMddagcYFgbOitWx5fer9P2zW945QLxSDf0-LHBIsc*ccGLRRrROcAQjicYGtn3G9Nho/wolper.jpg?width=650)
WOLPER MAJANGA!
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Majanga bungeni
MAWAZIRI Profesa Jumanne Maghembe (Maji) na Dk. Shukuru Kawambwa (Elimu na Mafunzo ya Ufundi), wanadaiwa kuwahonga makundi ya wafugaji, wavuvi na wawakilishi wa elimu ya juu ili washikilie msimamo wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2I-ABxGZyKWY0jBkT2Y-wVdFtRddRGH0-kVzdYQbd3PIM-bS*4ApOewa140TBipxHl*1j9iPMDrWYzKORHZliPV/KASEJA.jpg?width=500)
Kaseja majanga...
11 years ago
Uhuru Newspaper24 Jun
CHADEMA majanga
NA HAMIS SHIMYE
BAADA ya kujaribu kuficha migogoro nyuma ya kichaka cha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), hatimaye bundi wa migogoro ameibuka tena ndani ya CHADEMA.
Kwa muda mrefu sasa, kumekuwemo mvutano kutokana na kile kinachodaiwa ukiukwaji wa Katiba na matumizi mabaya ya madaraka na fedha za chama.
Hatua hiyo ilisababisha baadhi ya viongozi wakiwemo wa ngazi za juu kuvuliwa uanachama na wengine kutimuliwa.
Baadhi waliovuliwa uongozi ni aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe na...
9 years ago
Mwananchi18 Aug
Ngoma, Tambwe majanga
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Stars mpya majanga
TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, jana ilitibua furaha ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Burundi katika mechi ya kirafiki iliyopigwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOaUJ7iOWFwbZcJwO8wouXYIpfyowIZUHZl8CaNk3Hn6aaoI-AnadJTblJxlYF9gqOjdPWEEvRCkHBlHBH*Cfmn8/domayo.gif?width=650)
Majanga Domayo majeruhi!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/P2Q6K2rcr9EOTIDBtECxJwCl17hIG0JiUZlEGqiO7UFRZopN2Q5L0QIPvn5ZQCRDyvd149CKKm49Kh3m0kVh*sDZzxiv1y0k/snura.jpg?width=650)
SNURA AANDAMWA NA MAJANGA
11 years ago
Mwananchi08 Feb
Liverpool, Arsenal ‘majanga’