Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


“Chipukizi badilisheni soka Tanzania”

WACHEZAJI chipukizi wa soka wametakiwa kuwa chachu ya maendeleo ya mchezo huo hapa nchini na kufuta aibu ya kufungwa hovyo kwa timu ya Taifa kwa kuifanya iwe timu bora na yenye tija kwa taifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

ISSA HUSSEIN: Chipukizi mwenye matumaini makubwa katika soka

KILIO changu siku ya leo ni kwa wadau wa soka, nendeni viwanja vya mitaani, kwani kuna vipaji vingi vya soka vinavyotakiwa kuendelezwa. Akiwa ni mwanasoka chipukizi na anayeonyesha kipaji kikubwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Chipukizi Bhoke atoka na Naipenda Tanzania

chipukizi BhokeNA MWANDISHI WETU

MSANII chipukizi katika muziki wa Bongo Fleva, Bhoke Joseph (Honeyb), ameibuka na wimbo wa ‘Naipenda Tanzania’ unaoelezea uzuri wa Tanzania.

Katika wimbo huo uliorekodiwa katika studio ya Steam iliyopo Kimara Korogwe jijini Dar es Salaam chini ya prodyuza Master, inaelezea mambo mbalimbali yaliyoiwezesha Tanzania kuwa hapa ilipo.

Wimbo huo pia umewaelezea viongozi wote walioongoza nchi hii hadi sasa huku ikiwataka watakaokuja waendeleze Watanzania na amani yao.

“Nimeimba...

 

10 years ago

Vijimambo

MAELEZO BADILISHENI MFUMO WA UTOAJI PRESS CARD


WASOMAJI na wadau wangu nawasalimu na naimani kuwa Mwenyezi Mungu ametujalia tumeuona mwaka mpya wa 2015 salama salmini. Nawatakia heri na fanaka katika mwaka huu pia na karibuni tena katika porojo zangu za ukweli.
IDARA ya Habari –MAELEZO ndiyo idara ya serikali inayoshughulika na kufanya kazi zake kama chombo cha usimamizi wa vyombo vya habari na waandishi wake.
Idara hiyo pia ndio msemaji wa masuala mbalimbali ya serikali lakini pia ndiyo idara yenye jukumu la kusajili au hata kuyafutia...

 

11 years ago

GPL

SERIKALI YAIPONGEZA UCA-TANZANIA KUWANYANYUA WASANII CHIPUKIZI‏

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Leah Kihimbi akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo . Mkurugenzi Mtendaji wa UCA-Tz, Emmanuel Mushy akizungumza na vijana kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufanya uzinduzi. Baadhi ya wasanii chipukizi wa muziki na sanaa wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi pamoja na baadhi ya viongozi wa UCA-Tanzania.… ...

 

5 years ago

Michuzi

BADILISHENI CORONA KUWA FURSA KWA MALEZI YA FAMILIA

Mwandishi wetu, WAMJW                             

Wazazi na walezi nchini wametakiwa kufanya tathimini juu ya fursa na changamoto zilizopo katika familia zao hususani kipindi hiki ambacho jamii inakabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugojwa wa homa kali ya mapafu (COVID-19).

Wito huo umetolewa leo jijini Dar Es Salaam na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akizungumza kuhusu Siku ya Familia Duniani ambayo huadhimishwa kila...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yaifunga Kenya soka ya ufukweni

Timu Tanzania ya mpira wa ufukweni leo imeiondoa Kenya katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, kwa kuifunga kwa mabao 7-6.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania,Kenya kupambana Soka Ufukweni

Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu wa Ufukweni imeibuka kidedea baada ya kuifunga Kenya mabao 5-3

 

10 years ago

BBCSwahili

Soka Ufukweni:Tanzania, Misri kupmbana

Timu ya Taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni (Beach Soccer) inatarajiwa kucheza na timu ya Taifa ya Misri siku ya ijumaa

 

9 years ago

BBCSwahili

Samatta, kijana anayevumisha soka ya Tanzania

Nyota wa Tanzania Mbwana Ally Samatta amechangia sana katika ufanisi wa klabu ya TP Mazembe na pia kuweka soka ya Tanzania katika jukwaa la kimataifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani