Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coutinho awapa majukumu mazito...

Kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho. Na Wilbert Molandi
KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho, amewapa majukumu mazito mabeki wake, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na Kelvin Yondani katika mechi zijazo za Ligi Kuu Bara. Mbrazili huyo alitua kuichezea timu hiyo msimu huu wa ligi kuu akitokea nyumbani kwao na ameshindwa kucheza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa kutokana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Phiri ampa Kisiga majukumu mazito Simba

Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri. Na Sweetbert Lukonge
KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, amempa majukumu mazito kiungo wake, Shabani Kisiga kwa kumtaka kuhakikisha anasimamia suala la nidhamu katika kikosi hicho. Simba ipo kisiwani Unguja ambapo imeweka kambi ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 20, mwaka huu na wao wataanzia Kaitaba dhidi ya Kagera Sugar....

 

9 years ago

Mtanzania

Rais Magufuli awapa majukumu CAG, DPP

Dk.-John-P-J-MagufuliNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS Dk. John Magufuli kwa nyakati tofauti jana, alikutana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga na kuwapa majukumu yatakayokwenda na kasi ya  Hapa Kazi Tu.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Kaimu Mkurungenzi wa Mawasiliano Ikulu, Greson Msigwa, ilisema Rais Dk. Magufuli amemwagiza Profesa Assad  kuona njia sahihi ambayo itasaidia kupunguza gharama za...

 

10 years ago

GPL

COUTINHO AWAPA RAHA YANGA, KOMBE LA MAPINDUZI

Andrey Coutinho akishangilia na wenzake baada ya kufunga dakika ya 86 kipindi cha pili. BAO pekee la Mbrazil, Andrey Coutinho limeipa Yanga  ushindi wa 1-0 dhidi ya Shaba katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Coutinho alifunga bao hilo dakika ya 86 kwa shuti kali akimaliziana krosi ya beki wa kulia, Juma Abdul.
Yanga SC inamaliza kwa ushindi wa asilimia 100,...

 

10 years ago

Mwananchi

Emerson apewa majukumu

Kiungo mpya wa Yanga, Emerson De Oliveira Neves Rouqe ameanza mazoezi rasmi jana, huku akipewa jukumu la kuhakikisha anaziba pengo la Frank Domayo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi yaingilia majukumu ya Lema

HATUA ya Jeshi la Polisi kuzuia mikutano ya wabunge wa upinzani majimboni kwao kwa kisingizio kwamba inagongana na ile ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemwibua Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless...

 

9 years ago

BBCSwahili

Eto’o avuliwa majukumu ya ukocha

Nahodha wa zamani wa Cameroon Eto'o amepokonywa majukumu ya ukufunzi katika klabu ya Antalyaspor ya Uturuki.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pombe inavyodumaza majukumu ya wazazi Kasulu

NI ukweli usiopingika kuwa kuna wazazi wengi hasa katika maneo ya vijijini, wameshindwa kuwajibika ipasavyo katika malezi ya watoto wao kwa sababu ya kutumia muda mwingi katika ulevi. Kwa kawaida...

 

9 years ago

StarTV

TANESCO kuvunjwa ili kupungua majukumu

Serikali inatarajia kulivunja Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kwa lengo la kulipunguzia majukumu na kulibakizia kazi moja ya kusafirisha umeme ifikapo mwaka 2020 ili kuondoa kero ya umeme kwa wananchi kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni kuelemewa na majukumu.

Mpango huo ulitangazwa mwaka 2012 ukiwa ni moja ya mikakati muhimu ya kulikwamua shirika hilo na kuondoa kero ya umeme nchini.

Wakati wadau muhimu wa sekta ya nishati wakikutana Dar es Salaam kwa siku mbili kujadili namna ya...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete ampa Humba majukumu mapya

Emmanuel Humba, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF).RAIS Jakaya Kikwete amemteua Emmanuel Humba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani