Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani akamatwa na matunguri ya uchawi Geita

309768_233135676822252_1487420977_n

Baadhi ya tunguri alizokamatwa nazo diwani huyo.(Picha kwa hisani ya Malunde Blog).

Na Mwandishi wetu

Diwani wa wa kata ya Bugarama Mawazo Wiliam (CCM) iliyopo Wilayani Geita amekamatwa akiwa na matunguri anayoyatumia kupiga ramli chonganishi yakiwa Nyumbani kwake anakoishi.

Baadhi ya wananchi wa kata hiyo walisema kuwa Diwani huyo amekuwa akiwapigia ramli chonganishi watu wanaokwenda kwake kwa ajili ya kupata tiba ya kienyeji hivyo kuwaomba wanaohusika kuchukua hatua dhidi ya Diwani...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani, Mtendaji warudisha fedha walizoiba Geita

SIKU chache baada ya Tanzania Daima kuandika habari iliyokuwa ikiwatuhumu Diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Maweda Gwesandili na Mtendaji wa Kata ya Isulwabutundwe, Sadik Masalu kuiba sh. milioni 1.2...

 

10 years ago

GPL

UCHAWI! UCHAWI! HAKIMU AFIA MAHAKAMANI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
HAYA ndiyo majanga! Hali ya hewa ilibadilika ghafla katika Mahakama ya Mwanzo Ukonga, Dar kufuatia Mheshimiwa Hakimu Rogart Venance Alphonce (54) kuugua ghafla, kudondoka na kutokwa povu mdomoni na puani, hatimaye kufariki dunia! Inauma sana! Marehemu Hakimu Rogart Venance Alphonce enzi za uhai wake. Tukio hilo la kusikitisha na lililoibua vilio kwa watumishi wa mahakama hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAWI:1 NINI MAANA YA UCHAWI?


Al Azhari ambaye nimtungaji wa kamusimaarafu ya kiarabu iitwayo“LisanulArab” amesema:“Neno “Uchawi”, kwakiarabu “As Sihr”, maanayake ni kitendo chakujikurubisha na shetani nakwa msaada wake(shetani)”, na akasema piakuwa; “Uchawi nikulibadilisha jambo mbali nauhakika wake, nako nikuwadhihirishia watu jambolisilo la kweli wakalionakuwa ni la kweli.”Ama Sahaba Ibni Abbas(Radhiya Llaahu ‘anhu)amesema:"Uchawi ni kuidhirisha batilikatika sura ya haki."Hayo ni katika kamusi zalugha.Amma katika...

 

5 years ago

Michuzi

GEITA GOLD MINING LTD YATOA MILIONI 100/- KUSAIDIA UJENZI CHUO KIKUU HURIA-GEITA

KATIKA kukuza sekta ya elimu ya juu nchini, Kampuni ya Geita Gold Mining Ltd. (GGML) kupitia sera yake ya uwajibikaji kwa jamii imetoa kiasi cha Sh milioni 100 kusaidia ujenzi wa Kituo cha Chuo Kikuu Huria(Open University) cha mkoani wa Geita.

Awamu ya kwanza ya mradi huo inajumuisha ujenzi wa jengo la utawala linalojumuisha chumba mikutano cha viongozi, maktaba, chumba cha maabara ya kompyuta na ofisi nyingine tano.

Pia kiasi hicho cha pesa kilichotolewa na GGML ni kwa ajili ya ununuzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

KANALI MSTAAFU NDUGU NGEMELA LUBINGA AFANYA ZIARA WILAYA YA CHATO NA MBOGWE GEITA MKOANI GEITA.




Mlezi wa Mkoa wa Geita Ndugu. Ngemela Lubinga ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (Siasa na Uhusiano wa Kimataifa) amefanya ziara wilayani Chato na Mbogwe Mkoani Geita. 
Wilayani Chato Ndugu Lubinga amekagua na kujionea upanuzi wa Hospital ya Wilaya ya Chato pamoja na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa majengo matano ambao umekamilika kwa asilimia 97%. 
Aidha amekagua pia maendeleo ya ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mlimani ambao umejengwa kwa nguvu ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wapentekoste washikana uchawi

SIKU moja baada ya Ikulu kuliumbua Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania (PCT) kwamba hawakuwasilisha majina ya uteuzi kwa Rais Jakaya Kikwete, wameanza kushikana uchawi kumsaka aliyesababisha majina hayo kutofika...

 

9 years ago

GPL

UHUSIANO WA FREEMASONS NA UCHAWI

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale nilipokuwa nikielezea ni kwa nini Wana wa Israeli walikuwa na msimamo wa ukaidi kiasi cha kujifanyia masanamu na kuyaabudu? Ni nini chanzo cha mwelekeo huu? Je, kuna mkono wa Freemasons?SONGA NAYO… Tunapoichunguza jamii ya Freemasonry kwa undani na kwa kuzingatia kumbukumbu za historia, tunaona kuwa itikadi ya kipagani iliyowaathiri Waisraeli, ilikuwa ni ile ya Misri ya kale...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND AJIFUNZA UCHAWI

Mwandishi Wetu Nyuma ya safari za mara kwa mara za Mbongo fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ za nchini Nigeria, kumeibuka madai mazito kuwa, anapokwenda huko hufundishwa mbinu za uchawi ili kukubalika duniani kama mastaa wa huko, Risasi Jumatano limenyetishwa. Kwa mujibu wa chanzo kimoja, Diamond anafundishwa uchawi na Wanigeria kwani ndiyo taswira ya sanaa yao inavyoakisi duniani ambapo ukiwa nchi nyingine...

 

10 years ago

GPL

UCHAWI WAFUMULIWA SOKONI

waandishi wetu
WE acha tu! Sangoma mmoja aliyejulikana kwa jina la Mohamed Chimwaganje (44), amezua kizaazaa katika Soko la Kapera lililopo Mwembechai jijini Dar kufuatia kufumua vitu chini ya ardhi vinavyodhaniwa ni vya ushirikina,  Risasi Jumamosi linakujuza. Sangoma Mohamed Chimwaganje akishika hirizi aliyoitoa katika Soko la Kapera lililopo Mwembechai jijini Dar. Tukio hilo la aina yake lilijiri asubuhi ya Machi 25,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani