Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Drake ashangaza mashabiki, anunuliwa pete

drake na futureLOS ANGELES, MAREKANI

MASHABIKI wa muziki nchini Marekani, wameshangaa kitendo cha msanii wa hip hop, Nayvadius Wilburn ‘Future’, kumnunulia msanii mwenzake, Aubrey Graham ‘Drake’ pete ya dhahabu.

Mashabiki wengi wamedai kuwa ni bora angemnunulia saa, cheni na vitu vingine kuliko kumnunulia pete, kwa kuwa inatafsiri vibaya kwa mwanaume.

Wawili hao wa sasa wanafanya kazi za muziki pamoja, hivyo Future amesema kuwa amefanya hivyo kwa kuwa kuna wimbo wao unaitwa ‘Big Rings’ ambao upo kwenye...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

RAY AANIKA SABABU YA KUTOOA, ASHANGAZA!

Brighton Masalu
Msanii wa ‘long time’ kwenye anga la filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefungukia sababu za kutooa licha ya kwamba umri umekwenda. Msanii wa ‘long time’ kwenye anga la filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’. Akizungumza na Ijumaa katika mahojiano maalum, Ray alisema amekuwa akipangua mawazo ya kuoa kila wakati kutokana na ugumu wa kumpata mwanamke ambaye hatampa...

 

10 years ago

Michuzi

Mama wa Mapacha sita anunuliwa nyumba

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Covenant Bank Balozi, Salome Sijaona(Katikati) akikata utepe, kuashilia uzinduzi Rasmi wa nyumba aliyokabidhiwa Salome Mhando ambaye alitelekezwa na mume wake baada ya kujifungua watoto mapacha mfurulizo hadi kufikia sita na kukosa Mahali pa kuishi, Covenant Bank imemkabidhi nyumba hiyo ambayo ataimiliki yeye mwenyewe pamoja na thamani za ndani na Bima ya Matibabu kwa Mwaka mzima. Anaeshuhudia ni mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Sabetha Mwambenja (wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pete ya ndoa na umuhimu wake

KARIBU katika Safu ya Urafiki na Mahusiano. Ni matumaini yangu umzima wa afya na nawashukuru kwa maoni yenu. Jumamosi ya leo, tutazungumzia suala zima la kuvaa pete, lakini si kwa...

 

9 years ago

GPL

PETE YA UCHUMBA YAMLIZA WOLPER

Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ na mchumba wake. Stori: Mwandishi wetu STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ amejikuta akitoa machozi ya furaha baada ya kuvalishwa pete ya uchumba na kijana anayedaiwa kuwa ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). ....Wakifurahia kwa pamoja. Wolper ameitundika picha yake katika mtandao wa kijamii wa Instagram, akiwa na kijana huyo...

 

10 years ago

GPL

PETE YA SHILOLE YAIBUA MAZITO!

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Naftari Mlawa ‘Nuhu Mziwanda’ akiwa na bebi wake Zuwena Mohammed ‘Shilole’. Stori: Waandishi Wetu
JAMBO limezua jambo, saa chache baada ya mwanadada mtafutaji kunako tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, kuvalishwa pete ya uchumba na mchumba wake, Naftari Mlawa ‘Nuhu Mziwanda’ tayari watu wameanza kuisengenya. Shilole...

 

10 years ago

BBCSwahili

Michuano ya mpira wa pete ni Namibia.

Michuano ya Afrika ya mpira wa pete (netball) inategemewa kufanyika nchini Namibia na Tanzania inajiandaa kushiriki.

 

11 years ago

Mwananchi

Linah na Recho pete na kidole

Kawaida imezoeleka kwamba wasanii wanaofanya muziki wa aina moja huwa hawapatani na mara nyingi hushindwa kuwa karibu kutokana na kunyang’anyana mashabiki, kugombea shoo au ubize unaowafanya washindwe kukutana mara kwa mara.

 

10 years ago

GPL

THEA: NDOA SIYO PETE

Stori: Imelda Mtema
Msanii wa muda mrefu katika filamu Bongo, Salome Urassa maarufu kama Thea,  amejinasibu kuwa kutovaa kwake pete ya ndoa haimaanishi chochote kwa vile kitu hicho siyo muhimu. Msanii wa muda mrefu katika filamu Bongo, Salome Urassa maarufu kama Thea wakati wa kufunga ndoa. Akizungumza na paparazi wetu juzikati, Thea alisema awali alikuwa akivaa pete, lakini bahati mbaya ilipotea na kupotea huko...

 

9 years ago

GPL

TONTO AVALISHWA PETE YA MILIONI 20

Staa wa filamu mwenye vituko, Tonto Dikeh akiwa na mumewe Mr. X, Oladunni. Lagos, Nigeria
BAADA ya kufunga rasmi ndoa ya kimila nchini Naija, staa wa filamu mwenye vituko, Tonto Dikeh amefunguka kuwa pete aliyovishwa na mchumba wake, Mr. X, Oladunni kwenye harusi yake ina gharama ya shilingi milioni 20. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tonto alitupia picha ya pete hiyo na kuambatanisha na maneno yaliyosomeka; “Mungu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani