EU kuzuia wapiganaji wa kigeni
Mawaziri wa mambo ya ndani wa EU wanajadili njia za kusitisha raia wa Ulaya waliopigana Syria kurejea nyumbani
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo09 Sep
Wachezaji wa kigeni wabanwa
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema mchezaji yeyote wa kigeni ambaye hatalipiwa Dola za Marekani 2000 (takriban Sh milioni 4.2) hatacheza kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara itakayoanza kutimua vumbi Jumamosi.
10 years ago
Mwananchi22 Jun
Saba wa kigeni hawatoshi
Licha ya Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kubadili kanuni ya usajili wa wachezaji wa kigeni kwa kuongeza idadi kutoka watano mpaka saba, Yanga na Azam zimeonyesha kutofurahishwa na uamuzi huo.
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Argentina na fedha za kigeni
Argentina inasitisha masharti ya ubadilishaji wa fedha za kigeni ambayo yameimarisha sarafu ya taifa hilo.
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Mchezaji wa kigeni kulipa Tanzania
Kila mchezaji wa kigeni kulipa dola 2,000 ( wastani wa milioni 5) kwa kila msimu atakaocheza ligi kuu ya Tanzania.
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Kocha wa kigeni kuendelea kulipwa
Serikali imeweka wazi kuwa itaendelea kumlipa mshahara kocha wa kigeni atakayeingia mkataba na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kuinoa timu ya taifa ‘Taifa Stars’.
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Uhamisho nyota wa kigeni wapeta
Simba, Yanga na Azam FC zitawatumia wachezaji wake wa kigeni kufuatia kukamilishwa kwa taratibu za kuwaombea wachezaji hao Hati za Uhamisho wa Kimataifa (ITC) ndani ya muda uliopangwa.
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
Tufundishe na tujifunze lugha za kigeni
HAKUNA ubishi kwamba kuna tofauti kati ya mwanadamu aliyeishi maisha yake yote akifahamu lugha mo
Mwandishi Wetu
11 years ago
BBCSwahili24 Apr
Madaktari 3 wa kigeni wauawa Afghanistan
Mlinzi mmoja nchini Afghanistan amewaua kwa kuwapiga risasi madaktari 3 raia wa Marekani wanaofanya kazi katika hospitali moja mjini Kabul.
11 years ago
Mwananchi04 May
Ruksa nyota watano wa kigeni
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imeamua msimu ujao klabu zinazoshiriki ligi hiyo kusajili wachezaji watano wa kigeni badala ya wachezaji watatu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania