FIFA:Interpol yataka maafisa 6 kukamatwa
Shirika la maafisa wa polisi wa kimataifa Interpol limetoa ilani ya kukamatwa kwa watu sita wanaohusishwa na FIFA
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Interpol yakata ushirikiano na FIFA
Shirika la polisi wa kimataifa Interpol limesema linasimamisha uhusiano wake na FIFA uliokuwa na lengo la kuchunguza na kukabiliana na visa vya upangwaji wa matokeo ya mechi za kandanda, kutokana na kashfa ya rushwa inayolizonga shirikisho hilo la soka
9 years ago
Michuzi27 Nov
BREAKING NEWZZZZZ....WAZIRI MKUU MAJALIWA AVAMIA BANDARI LEO, AAMRISHA KUKAMATWA KWA MAAFISA KIBAO WA TRA
Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa leo ameamuru kukamatwa kwa maafisa kadhaa wa Mamlaka ya Mapato (TRA) na wengine kufukuzwa kazi baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Bandarini na kukuta madudu ambayo hakuyafurahia.Maafisa hao, ambao kwa sasa tunahifadhi majina ili Jeshi la Polisi liweze kuwashughulikia, wametakiwa pia kusalimisha hati zao za usafiri.Hii imekuja baada ya kugundulika kwamba kuna makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya bilioni 80 ambayo data za Mamlaka ya Bandari inazo...
9 years ago
BBCSwahili03 Dec
Maafisa wa Fifa wakamatwa Zurich
Maafisa kadha wa Fifa wamekamatwa kwenye msako wa polisi uliofanywa katika hoteli moja kuu mjini Zurich.
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Fifa yataka Valcke apigwe marufuku miaka tisa
Kamati ya maadili ya FIFA imependekeza katibu mkuu wa shirikisho hilo linalosimamia soka duniani Bw Jerome Valcke apigwe marufuku miaka tisa.
11 years ago
BBCSwahili19 Sep
Saa za gharama zawaponza maafisa FIFA
Shirikisho la soka duniani FIFA, limewaambia viongozi wanaounda kamati ya utendaji na viongozi wengine wa juu wa shirikisho hilo kurejesha saa zipatazo 65 za gharama.
9 years ago
BBCSwahili04 Dec
Maafisa 16 wa FIFA kizimbani kwa ufisadi
Waendesha mashtaka nchini Marekani wametangaza mashtaka mapya dhidi ya maafisa wapatao kumi na sita wa shirikisho la kandanda duniani FIFA kwa kuhusika na tuhuma za rushwa baada ya uchunguzi ndani ya shirikisho hilo.
11 years ago
BBCSwahili30 Jun
Rais wa Uruguay atukana maafisa wa FIFA
Jose Mujica amewatukana maafisa wa FIFA kwa kumpiga marufuku mchezaji wa nchi hiyo Luis Suarez.
9 years ago
BBCSwahili13 Nov
Fifa yapiga marufuku maafisa wa Congo
Maafisa wawili wa Shirikisho la Soka la Congo-Brazzaville wamepigwa marufuku miezi sita na shirikisho la soka duniani Fifa.
10 years ago
BBCSwahili03 Jun
FIFA yawapa marufuku maafisa wa soka Congo
Maafisa wawili wa shirikisho la soka nchini Congo Brazaville wamepigwa marufuku na shirikisho la soka duniani FIFA
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania