HATA WAKIACHA MUZIKI ‘HAWAFI NJAA’
![](http://api.ning.com:80/files/AY5n-P37pIXUYNCtDwy27*SBm1XMGgF19nVtZoDo917kHuG8EmqTPwSCJO*U9kMc0AHf1EOmpw2n2guSkNAVUVSqz192piIa/JIDEEEE.jpg?width=650)
Dada Mkuu’ wa Bongo Fleva, Judith Wambura 'Lady Jay Dee'. Lucy Mgina KATIKA maisha siku zote tunashauriana kwamba tusitegemee chanzo kimoja cha fedha. Kama wewe ni muajiriwa basi unatakiwa kuwa na vyanzo vingine vya kujiingizia kipato ili usipate tabu pindi ajira yako inapokoma. Kwa Tanzania asilimia kubwa ya wasanii na hata watu wa kawaida wamekuwa wakijisahau kuhusiana na ishu hii. Staa wa Bongo fleva  Nasibu Abdul...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Dec
Julio adai hatokata tamaa na muziki hata kama haumlipi
![Mshiriki wa BBA Julio](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/05/Mshiriki-wa-BBA-Julio-200x133.jpg)
Staa wa muziki na mshiriki wa shindano la Big Brother Africa 2012, Julio Batalia, amesema hategemei muziki umlipe kwani bado yupo kwenye hatua za kujitangaza.
Julio ameiambia Bongo5, kuwa ingawa muziki umekuwa wa gharama kubwa katika maandalizi, hana budi kuendelea kufanya hivyo hivyo ili kujitenga.
“Mimi naamini muziki ni process ya muda mrefu,” amesema. “Kwahiyo mafanikio huenda yakachelewa lakini yatakuja tu. Kwahiyo mimi nipo katika stage hiyo sijali sana muziki unilipe kwa sasa kwa...
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Mangula: Hata mkiandamana bure, Katiba haitabadilishwa hata nukta
9 years ago
Bongo514 Dec
Beka Ibrozama: Muziki wa biashara usitufanye tuutupe muziki wa asili ya Tanzania
![beka](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/beka-300x194.jpg)
Muimbaji aliyewahi kutamba na wimbo wake ‘Natumaini’, Beka Ibrozama ameonya kuwa kama wasanii watajisahau na kufanya zaidi ule wanaouita muziki wa biashara wenye kukopa vionjo vya nje, muziki wenye asili ya Tanzania utapotea.
Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky hivi karibuni, Beka alisema pamoja na kufanya nyimbo za kisasa, bado amekuwa akitumia muziki wenye asili ya Tanzania kumpa inspiration.
“Nasikiliza tu jinsi muziki unavyoelekea, naona ni muziki ambako upo wa kukopi sana, watu...
10 years ago
Bongo520 Oct
Nikki Wa Pili: Nguvu ya muziki wa nyumbani bado imeonekana ni kubwa zaidi ya muziki wa kigeni
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-k2oXEa-oY1c/VE0ZCLyffKI/AAAAAAADLYw/buq2JVuRvaI/s72-c/Heri_Promo_1%5B1%5D.jpg)
Heri Muziki-Nchi Yetu (Muziki Wetu)
Artist Name: Heri MuzikiSong Name: Nchi Yetu (Muziki wetu)Produced by: MswakiSongwriters: Adam Kaps, KT, Heri Muziki & Mswaki
Download Link :http://hu.lk/949infc12pvk
attached are1. Nchi Yetu (Muziki wetu)2. Song cover (artwork)3. Promo pic4. Nchi Yetu (Muziki wetu)
![](http://4.bp.blogspot.com/-k2oXEa-oY1c/VE0ZCLyffKI/AAAAAAADLYw/buq2JVuRvaI/s1600/Heri_Promo_1%5B1%5D.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Njaa yanyemelea Manyoni
WAKAZI 1,904 wa Kata ya Saranda, Tarafa ya Kilimatinde, wilayani Manyoni wanakabiliwa na upungufu wa chakula. Diwani wa Kata ya Saranda, Juma Ramadhani aliyasema hayo alipokuwa akielezea hali ya chakula...
10 years ago
Tanzania Daima24 Oct
Wabunge walia njaa
WABUNGE wa Bunge la Muungano, wanakabiliwa na ukata baada ya Ofisi ya Bunge kushindwa kuwalipa posho zao tangu walipoanza vikao vya Kamati za Bunge, jijini Dar es Salaam. Ingawa wabunge...
10 years ago
Mtanzania28 May
Burundi yakabiliwa na njaa
Na Mwandishi Wetu, Bujumbura
HALI ya njaa imeikumba Burundi hasa katika mji mkuu wa Bujumbura baada ya wasafirishaji wa mazao kusimamisha huduma yao kuhofia usalama wao.
Kutokana na hali hiyo Serikali imekuwa ikihaha kuwaomba wananchi hasa waliokimbia wa mikoa ya milimani ya Makamba na Ngozi kurejea nchini humo waendelee na kilimo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, mkazi wa Bujumbura ambaye jina lake linahitafadhiwa kwa sababu za usalama, alisema kwa wiki moja sasa huduma muhimu za vyakula...
9 years ago
Mwananchi09 Nov
Wanavijiji walia na njaa