Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hii ni awamu ya kazi, tuchape kazi

Katika kipindi chote cha kampeni za kuwania urais, Dk John Magufuli amekuwa akiwataka wananchi kujipanga kufanya kazi kwa sababu Serikali yake haitavumilia watu wavivu. Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu “mvivu” ni mtu asiyependa kufanya kazi; mtepetevu, mkunguni; mlegevu, mzembe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Wapinzani wana kazi ngumu awamu ya tano

KUWA katika kambi ya upinzani ilikuwa ni kazi rahisi zaidi wakati wa awamu tatu za serikali ziliz

Njonjo Mfaume

 

9 years ago

Raia Mwema

Hapa kazi tu na utendaji kazi wa staili ya jeshi la mtu mmoja

RAIS wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli ameanza kazi kwa staili ambayo si mpya hapa nchini.

Yahya Msangi

 

10 years ago

Bongo Movies

KAZI MPYA:Wema Atua Nchini Ghana Kufanya Kazi na Van Vicker

Aliekuwa Miss Tanzania (2006), Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya  Endless Fame, inayojishughurisha na mambo ya filamu hapa nchini, Wema Sepetu aka Madame hivi sasa yupo nchini Ghana kwaajili ya kufanya kazi na msanii maarufu nchini humo na Afrika kwa ujumla aitwaye van vicker.

Leo hii kwenye mtandao wa kijamii Wema aliweka picha hiyo akiwa na msanii huyo na kuandika “In the Making” na kumtag Van.

Jina la project (MOVIE) hiyo mpya hadi sasa bado halijajulikana. Endelea kutufuatilia hapa...

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA ANGA LA CCM LAMALIZA KAZI TABORA,WANANCHI WAAHIDI KUCHAGUA "KAZI TU"

FieldMashall Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Sikonge hii leo Mkoani Tabora wakati wa Mkutano wa Kampeni wa Chama Cha Mapinduzi,Mwigulu Nchemba amewasisitiza Wananchi wa Sikonge Kuachana na siasa za Makundi ndani ya Chama Cha Mapinduzi,"Wananchi wote,WanaCCM wote tuunganishe nguvu zetu kukipa Ushindi chama cha Mapinduzi,Tuunganishe nguvu kuhakikisha tunapata Mbunge wa CCM atakayeweza kutatua Matatizo ya Tumbaku hapa Sikonge"Mbali na hilo ,Mwigulu Nchemba ameendelea kusisitiza...

 

9 years ago

Mwananchi

SUZANE : Kazi ni kazi bora mkono uende kinywani

Kuchelewa kwa maendeleo katika jamii kumekuwa kukichangiwa na sababu mbalimbali hasa uchaguzi na ubaguzi wa kazi.

 

10 years ago

Habarileo

Wasichana wa kazi Uganda kupewa vyeti vya kazi

INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Uganda, Jenerali Kale KayihuraINSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Uganda, Jenerali Kale Kayihura, ameagiza Jeshi la Polisi kuanza kutoa vyeti kwa wasichana wa nyumbani, wakati Umoja wa Mataifa (UN), ukitaka Serikali ya Uganda kuchukua hatua dhidi ya msichana wa kazi, aliyemtesa mtoto kwa kumpiga, kumtupa chini na kumkanyaga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kazi hii haitazidi wiki mbili — Shekifu

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Henry Shekifu, amesema kuwa endapo mambo mawili yanayoleta ukinzani kwenye Raismu ya Katiba yakipatiwa ufafanuzi, kazi ya kuandika katiba mpya haiwezi kuzidi wiki mbili....

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete: Kazi hii ya urais ni ngumu

Rais Jakaya Kikwete amesema kazi ya urais ni ngumu na anatamani amalize kipindi chake ili awe mtu huru kufanya mambo yake, ikiwamo kilimo, huku akiamini atapatikana Rais bora kuiongoza vizuri zaidi Tanzania kuliko yeye.

 

10 years ago

GPL

HIVI MKE WA SAMPULI HII WA KAZI GANI?

Mpenzi msomaji wangu, wiki hii nimeona nimzungumzie mwanamke ambaye hana sifa za kuendelea kuitwa mke, dawa yake ni kuachwa awe ‘nunga yembe’. Haridhiki na penzi lako
Wapo wanawake ambao wewe unaweza kujitahidi kumpatia mapenzi kadiri unavyoweza lakini yeye hatosheki. Anakuchukulia wewe ni dhaifu sana na wakati mwingine kuhisi yupo mwingine anayeweza kumpa zaidi ya kile unachompa, huyu ni tatizo. Ana wivu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani