Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Hoja muhimu kwenye rasimu ziwekewe kinga’

Mtaalamu wa masuala ya Katiba, Profesa Chris Peter Maina amewataka wajumbe wa Bunge la Katiba kuhakikisha hoja muhimu wanazotaka ziingie katika Katiba, zinawekewa kinga ili kudhibiti uwezekano wa kuchezewa na watu wasio na mapenzi mema kwa taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Baadhi ya wajumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni za bunge maalumu wakijibu hoja za wabunge leo

 Mjumbe Mhe. Tundu Lissu akitoa ufafanuzi ya moja ya hoja zilizowekwa mezani na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakati wa majadiliano ya rasimu za kanuni  Mjumbe Mhe Evod Mmanda akijibu hoja Mjumbe Mhe. George Simbachawene akitoa ufafanuzi.  Mjumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni  ambaye pia anatoka kundi la walemavu Mhe. Amon Anastaz Mpanju akijibu hoja za wabunge. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii

 

11 years ago

Michuzi

busara, amani na nguzu za hoja zatawala semina ya kujadili rasimu ya kanuni bungeni dodoma leo

 Mjumbe Mhe Betty Machangu akiuliza swali wakati wa mjadala wa rasimu ya kanuni zitazotumika katika Bunge Maalum la katiba leo mjini Dodoma. Hadi sasa busara imetawala katika mjadala ambao umeendelea kwa utulivu  Mjumbe Mhe. Hezekiah Wenje akihoji jambo wakati wa mjadala huo  Mjumbe Mhe Beatrice Shelukindo akichangia mjadala huo  Mjumbe wa Kamati ya kanuni Mhe Tundu Lissu akitoa ufafanuzi na kujibu hoja za wajumbe Mjumbe Mhe. Hamad Rashid akichangia mjadala. Picha na Deusdedit Moshi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Kura yangu kwenye rasimu ni hapa’

 Mbunge wa Mwibara-CCM, Kangi Lugola amesema endapo angepata nafasi ya kuipigia kura rasimu iliyopendekezwa asingefanya kitu tofauti na msimamo alionao wa kupiga kura ya hapana.

 

11 years ago

Michuzi

Hoja ya haja: Wizi kwenye Maduka ya Nyama Mwenge, Dar

 Kwa wale munaokwenda bucha kununua nyama munaelewa ni kwa jinsi gani nyama imepanda bei. Kwa sisi tunaogetemea bucha za maeneo ya Mwenge, tangu nyama ilipopandishwa bei mwezi December mwaka jana wakati wa sikukuu, hadi sasa haijashuka. Kilo moja ilipanda kutoka shilingi 5,000 hadi shilingi 7,000 huku stake ikipanda kutoka shilingi 6,000  hadi shilingi 9,000. Pamoja na maumivu haya ya bei, kuna maumivu makubwa wanayopata wanunuzi wa nyama (hasa eneo hili la Mwenye) bila kujua kwa njia kuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Maoni ya wasanii ni muhimu kwenye Katiba

Viongozi na wasanii kutoka baadhi ya vyama na mashirikisho ya sanaa nchini hivi karibuni walitembelea Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma kuwasilisha kilio chao cha kutaka wasanii kutambuliwa kama kundi kubwa maalumu pamoja na milikibunifu.

 

11 years ago

Mwananchi

Alat yalalamika kutengwa kwenye Rasimu ya Katiba Mpya

>Mwenyekiti wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa (Alat) Taifa, Didas Masaburi ameitaka Serikali Kuu kutangaza kutokuzitambua  Serikali za Mitaa endapo inaona kuwa hazina umuhimu.

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Michael ataka sura ya Ardhi kwenye Rasimu ya Katiba

>Kamati Namba tatu ya Bunge la Katiba imependekeza Rasimu ya Katiba iongezewe masuala ya haki za umiliki wa ardhi kwa wakulima na wafugaji, kuondoa migogoro inayoendelea nchini.

 

9 years ago

GPL

SHOGA: MADOIDO MUHIMU KWENYE ENEO LENU LA KUJIDAI!

Shoga yangu, leo nitazu-ngumza nawe mada iliyobebwa na kichwa hicho hapo juu.Bila shaka unaelewa ili kila kitu kiende sawa lazima kiwe na madoido yake, mfano ukitaka usifiwe kwa mapishi matamu lazima uweke viungo mbalimbali kwenye mapishi yako. Ukitaka nyumba yako ipendeze lazima uipambe kwa mapambo mbalimbali, hata ukitaka kuonekana smati lazima ujue namna ya kupangilia mavazi yako. Tukitoka kwenye mambo hayo, tukirejea kwenye...

 

11 years ago

GPL

SLAA: ASILIMIA 72 YA MAONI TULIYOKUSANYA YAMO KWENYE RASIMU YA PILI YA KATIBA

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Wilbrod Slaa amesema asilimia 72 ya maoni yalikusanywa toka kwa wananchi na CHADEMA yamo kwenye rasimu ya pili ya Katiba. Slaa aliyasema hayo mjini Songea akiwa katika Operesheni M4C Pamoja Daima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani