Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JE NI KWELI DENI HALIFUNGI KISHERIA .

NA  BASHIR  YAKUB Ni  kawaida  watu  kukopeshana  fedha  katika  shughuli  za  kibinadamu za kila  siku hasa  zile  za  uzalishaji. Ni  kutokana  na  hili  baadhi  ya  watu  hujikuta  wameingia  katika  faraka ambazo  hata  hivyo  zinatatulika  kisheria. Kwa  wale  ambao  madeni  yao  hutokana  na  taasisi  za  fedha  kama  benki  hawa  huwa  sio  rahisi  kwao  kukwepa kutokana  na  utaratibu  makini  wa  utoaji  wa fedha wa taasisi  hizo. Tatizo  kubwa  la  kutolipana na  kuleteana  dharau...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NAMNA YA KISHERIA YA KUZUIA MSHAHARA WA MFANYAKAZI KULIPIA DENI LAKO.

NA  BASHIR  YAKUB - Unapomdai  mtu  kupitia  mahakanma  na  hukumu  ikatolewa  kuwa  ni  kweli  unamdai  na  anastahili  kukulipa basi  mtu  huyo  hustahili  kulipa.  Lakini  mara  kadhaa  hutokea  mtu  kusema  sina  hela  ya  kulipa  au  vinginevyo  ilimradi  tu  asilipe  deni.
Lakini  pia  madai  hapa  si  lazima  iwe  hela  tu  inayotokana  na  kukopeshana.  Yapo  pia  madai  ambayo  hutokana  na  mtu  kushinda  kesi. Kwa  mfano   mwanamke  alifungua  kesi  dhidi ya mme  wake  akitaka...

 

10 years ago

Vijimambo

Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli

The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz ..nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna...

 

11 years ago

Mwananchi

Unaposoma unaweza kutambua taarifa anazoandika mtunzi zilizo kweli na zisizo kweli?

Katika makala yangu yaliyochapishwa gazetini tarehe Julai 6, iliyokuwa na kichwa : “Fahamu namna ya kuboresha uwezo wako wa kusoma,” nilieleza kuwa sharti moja la kusoma vizuri ni kuwa na uwezo wa kusoma huku ukitathmini ukweli wa habari unayosoma. Kuna wasomaji kadhaa wameniomba nieleze jinsi mtu anavyoweza kutathmini anachokisoma.

 

9 years ago

Habarileo

JK: Deni PSPF kushughulikiwa

RAIS Jakaya Kikwete amezindua ghorofa pacha la Mfuko wa Pensheni wa Watumishi wa Serikali (PSPF) na kuahidi kushughulikia tatizo la deni la serikali. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa jengo hilo la ghorofa 35 jijini Dar es Salaam jana, Kikwete alisema anafahamu changamoto za mifuko ya jamii, ikiwamo PSPF.

 

11 years ago

Mwananchi

JK: Wanariadha mna deni

 Rais Jakaya Kikwete aliangalia mechi yote ya fainali ya Kombe la Dunia na jana aliipongeza Ujerumani kwa kutwaa ubingwa, lakini baadaye jioni aliwaaga wanamichezo wa Tanzania  wanaoenda kwenye Michezo ya |Jumuiya ya Madola akisema wana deni kubwa.

 

10 years ago

Mtanzania

Wasaidizi kisheria waaswa

NA ALLY BADI, LINDI
OFISA Mfawidhi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Kanda ya Kusini, Mourice Chisi, amewataka wasaidizi wa kisheria kutumia nafasi zao kuwasaidia wananchi mkoani hapa kutatua migogoro bila upendeleo.
Wito huo ameutoa wakati alipokuwa anafunga kikao kazi na kugawa vyeti kwa wahitimu wasaidizi wa kisheria kutoka wilaya sita za Mkoa wa Lindi kilichoandaliwa na Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto Mkoa wa Lindi (LIWOPAC).
Alisema wasaidizi wa kisheria ni...

 

10 years ago

Vijimambo

Yanga kumlipia Ngasa deni

Yanga imeona hatari ya kumpoteza winga Mrisho Ngasa ambaye ameashiria kwamba ataondoka Jangwani baada ya mkataba wake uliobaki miezi mitano kumalizika na imeamua kumlipia deni lake la benki linalomuelemea -- kwa masharti maalum.

Ngasa alilazimika kukopa fedha benki baada ya kuamriwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kuilipa Simba Sh. milioni 45 alizochukua ili ajiunge nayo lakini akaikacha na kutua Yanga. Kamati hiyo pia ilimfungia mechi sita za awali za Ligi Kuu ya Tanzania Bara...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Deni lazorotesha ufanisi Tanida

CHAMA cha wauzaji wa Pembejeo za Kilimo na Mifugo nchini, (Tanada), kimesema wanachama wake wanashindwa kutoa huduma kwa ubora na wakati kwa wateja wake kutokana na Serikali kushindwa kuwalipa deni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani