Jumbe kuruhusiwa Muhimbili Jumapili
Familia ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi (95), imesema inatarajia kumwombea ruhusa ya kutoka hospitali Jumapili ijayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
Aboud Jumbe alazwa hospitali ya taifa Muhimbili
Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi (94).
Na Mwandishi wetu
Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi (94), yupo hoi baada ya kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akisumbuliwa na maradhi ya moyo.
Taarifa iliyotolewa na Ofisa Uhusiano wa Hospitali ya Muhimbili, Doris Ishenga, alisema Jumbe alipokewa hospitalini hapo tangu Oktoba 12, mwaka huu.
Amelazwa katika Taasisi ya Moyo baada ya...
9 years ago
BBCSwahili18 Sep
Wahamiaji kuruhusiwa kuvuka Croatia
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-XMnoj8Vb-BQ/XocaxOsfJHI/AAAAAAALl7w/xH8-OxB0vMEjckNHiVGcQhDmmqjivcoQwCLcBGAsYHQ/s72-c/CHANJO%252BPIC.jpg)
MGONJWA WA TATU WA CORONA APONA NA KURUHUSIWA
• Mwingine mmoja kusubiri kipimo cha mwisho
Na. WAMJW-Dar es Salaam
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa mgonjwa wa tatu aliyeambukizwa ugonjwa wa corona nchini amepona na kuruhusiwa kurudi nyumbani, huku mgonjwa mwingine mmoja kipimo cha pili ameonyesha negative hivyo anasubiri kipimo cha mwisho kuthibitishwa kupona.
Waziri Ummy ameyasemahaya leo jijini hapa kuwa mmoja wa wagonjwa hao ni yule aliyekuwa amelazwa kwenye kituo maalumu ya tiba...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-XMnoj8Vb-BQ/XocaxOsfJHI/AAAAAAALl7w/xH8-OxB0vMEjckNHiVGcQhDmmqjivcoQwCLcBGAsYHQ/s72-c/CHANJO%252BPIC.jpg)
Mgonjwa wa tatu apona ugonjwa wa Corona na kuruhusiwa
• Mwingine mmoja kusubiri kipimo cha mwisho
Na. WAMJW-Dar es Salaam
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa mgonjwa wa tatu aliyeambukizwa ugonjwa wa corona nchini amepona na kuruhusiwa kurudi nyumbani, huku mgonjwa mwingine mmoja kipimo cha pili ameonyesha negative hivyo anasubiri kipimo cha mwisho kuthibitishwa kupona.
Waziri Ummy ameyasemahaya leo jijini hapa kuwa mmoja wa wagonjwa hao ni yule aliyekuwa amelazwa kwenye kituo maalumu ya tiba...
9 years ago
StarTV17 Dec
Albino Aliyekatwa Mkono  kuruhusiwa hospitalini Lushoto
Hospitali ya Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga imesema wakati wowote itamruhusu mkazi wa kijiji cha Bungoi Ester Magamba baada ya afya yake kuimarika.
Ester ambaye ni mlemavu wa ngozi Albino alifikishwa katika hospitali hiyo baada ya watu kuvamia nyumbani kwake Desemba 8 na kumkata kidole chake cha mkono wa koshoto.
Tayari Jeshi la Polisi limemkamata mtu mmoja anayedaiwa kuhusika katika tukio hilo na linaendelea kuwatafuta watu wengine wawili..
Wilaya ya Lushoto, wilaya yenye sifa ya kilimo...
9 years ago
StarTV02 Nov
Kocha wa Prisons Apata nafuu na kuruhusiwa utoka Hospitali.
Aliekua kocha Mkuu wa Tanzania Prisons David Mwamaja ameruhusiwa kutoka Hospital ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa kwa siku kumi kutokana na kusumbuliwa na ugongwa wa kichwa baada damu kuvilia katika ubongo.
Mwamaja alianza kuugua ugonjwa huo wiki mbili zilizopita baada ya kuanguka akiwa katika majukumu ya kuinoa timu ya Mji Njombe inayoshiriki ligi daraja la kwanza.
Akizungumza kwa taabu kocha Mwamaja anaeleza kuwa alianguka katika korongo na kupoteza fahamu na baada ya kuzinduka akaanza...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Papa Francis atofautiana na Maaskofu juu ya kuruhusiwa kwa waliooa kuwa mapadre
11 years ago
TheCitizen16 May
Hussein Jumbe: Dance music has to reinvent
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Aboud Jumbe sasa atoka hospitali