Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JWTZ mahiri duniani

MAJESHI Maalumu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) yanayolinda amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ni miongoni mwa vikosi bora 35 vya majeshi ya nchi mbali duniani, vinavyokubaliwa kuwa na ufanisi wa hali ya juu, uwezo mkubwa wa kupigana na vilivyofundishwa vizuri.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

JWTZ yatambulika duniani kwa umahiri

05-10-2013advanceteam

Majeshi Maalum (Special Forces) ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania yanayolinda amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ni miongoni mwa vikosi bora 35 vya majeshi ya nchi mbali duniani vinavyokubali kuwa na ufanisi wa hali ya juu, uwezo mkubwa wa kupigana na vilivyofundishwa vizuri.

Kwa  mujibu wa Mtandao wa Imgur Via Distractify, Tanzania na jeshi lake ni nchi pekee ya Afrika kuweza kuwa na majeshi yake miongoni mwa majeshi bora duniani.

Chini ya kichwa cha habari “35 Most...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Wanasoka mahiri kusaidia WHO

Chiristiano Ronaldo wa Real Madrid, Neymar wa Barcelona, Didier Drogba wa Chelsea na Philip Lahm wa Bayern Munich waunga mkono juhudi za kimataifa katika kuhamasisha dunia kuhusu Ebola

 

10 years ago

Habarileo

‘Jaji Makame alikuwa mwanasheria mahiri’

JAJI Mkuu mstaafu, Augustine Ramadhani, amesema Taifa limempoteza Jaji mahiri katika tasnia ya Sheria nchini, ambaye alisifika kwa mambo mengi, ikiwemo kuandika kwa ufasaha hukumu zake, kutokana na umahiri wake wa lugha ya Kiingereza.

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YASHIRIKIANA NA MBUNIFU MAHIRI AFRIKA

Mbunifu nguli wa mitindo Afrika, Mustafa Hassanali akizungumza na wageni waalikwa kuhusiana na huduma mpya ya kuwa karibu naye kwa mashabiki wa mitindo kupata taarifa zake kupitia simu zao za mkononi kwa kupiga *148*82# na moja kwa moja utakuwa umeunganishwa na huduma hiyo na kutozwa shilingi 90 za kitanzania kwa siku. Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel inayotoa huduma nafuu na yenye wigo mpana zaidi wa mawasiliano,...

 

11 years ago

GPL

WAANDISHI MAHIRI WA HABARI WANAHITAJIKA HARAKA

Global Publishers & General Enterprises LTD, kampuni inayoendelea kukua katika tasnia ya habari nchini, kwa mwaka 2014 ina nafasi za kazi za uandishi mahiri wa habari kwa wenye elimu, ujuzi na sifa zifuatazo:
ELIMU NA SIFA:
Wanahitajika waandishi mahiri wenye elimu ya Degree, Advanced Diploma au Diploma ya uandishi wa habari, wenye ufahamu wa kutosha kuhusu masuala ya habari za michezo na burudani ndani na nje ya Tanzania. Kwa...

 

9 years ago

Michuzi

TUZO ZA UANDISHI MAHIRI 2015 ZAJA

Katibu Mtendaji wa MCT, Kajubi MukajangaKatibu Mtendaji wa MCT, Kajubi Mukajanga akizungumza na waandishi wa habari ofisi za Baraza zilizoko Mwenge jijini Dar es Salaam.
KAMATI za maandalizi ya Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) iliyopo chini ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) imezindua rasmi tuzo hizo ambazo zimeongezewa makundi mawili ya kushindania.Akizungumza na waandishi wa habari ofisi za Baraza zilizoko Mwenge Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa MCT, Kajubi Mukajanga, amesema makundi mapya ya kushindaniwa katika...

 

10 years ago

Habarileo

Walimu sasa wapata msimamizi mahiri

BUNGE jana lilipitisha Muswada wa Sheria ya Tume ya Walimu, ambayo pamoja na mambo mengine itakuwa na kazi ya kusimamia utumishi wa walimu.

 

9 years ago

Mwananchi

Mwananchi yapongezwa tena kwa uandishi mahiri

Gazeti la Mwananchi limetajwa kuwa ni mfano bora kwa kuripoti habari za uchaguzi wa mwaka huu bila upendeleo huku likiwapa wananchi fursa ya kuzungumza na wagombea wao.

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwembe: Mbunge mahiri anayekumbatia taaluma yake

Miongoni mwa wabunge yumo Dk Pudenciana Kikwembe Viti Maalumu (CCM). Hili si jina geni masikioni mwa wengi kutokana na michango na uwezo wake wa kujenga hoja bungeni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani