Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kadi ya ushabiki ya benki ya posta ya mbeya city yazinduliwa leo

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Dkt. Norman Sigela (wa pili kulia) pamoja na Meya wa jiji la Mbeya Ndugu Athanas Kapunga (kulia) wakipokea kadi ya ushabiki ya Mbeya City Football Club kutoka kwa Kaimu Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Ndugu Jema Msuya (wa tatu kushoto). Wa pil kushoto kwenye picha ni Mkurugenzi wa masoko wa benki ya Posta Mr Deogratius Kwiyukwa. Chini ni viongozi na wachezaji wa Mbeya City.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mbeya City FC wakabidhiwa Kadi maalum kwa wapenzi wa timu hiyo kutoka Benki ya Posta

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Ndugu Norman Sigala pamoja na Meya wa jiji la Mbeya Ndugu Athanas Kapunga wakipokea kadi ya ushabiki ya Mbeya City Football Club kutoka kwa Kaimu Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Ndugu Jema Msuya. Kushoto kwenye picha ni Mkurugenzi wa masoko wa benki ya Posta Mr Deogratius Kwiyukwa.

 

11 years ago

Michuzi

benki ya posta YAZINDUA KADI ZA AKAUNTI KWA WANACHAMA NA MASHABIKI wa SIMBA NA YANGA

 Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta Bw. Deo Kwiyukwa (wa pili kulia) akitoa maelekezo kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Simba waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa kadi za akaunti za benki hiyo kwa ajili ya wanachama na mashabiki wa vilabu vya Simba na Yanga leo katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es salaam  Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta Bw. Deo Kwiyukwa akimkabidhi mtangazaji Ephraim Kibonde wa Clouds FM mfano wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya Posta Tanzania, yasaidia shule za msingi wilayani Ileje mkoani Mbeya

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mmbene, (wapili kushoto), akipeana mikono na Meneja msaidizi wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, tawi la Tunduma, Teddy Msanzi, wakati wa hafla ya kukabidhi madawati yaliyotolewa kama msaada na benki hiyo, kusaidia shule mbili za msingi wilayani Ileje, mkoa wa Mbeya, hivi karibuni.

NA K-VIS MEDIA

Benki ya Posta Tanzania (TPB) kupitia tawi lake la Tunduma, imetoa msaada wa madawati 100 yenye thamani ya shilingi Milioni Tatu kwa shule mbili za...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAZINDUA RASMI FAMILIA YA KADI ZA BENKI “MASTERCARD DEBIT” ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA

 Wadau wa benki ya NMB pamoja na wageni waalikwa wakisikiliza kwa umakini hotuba ya mgeni rasmi ambaye alikuwa ni Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin William Mkapa wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya MasterCard itakayoanza kutumiwa rasmi na benki hiyo. Uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Haytt Regency zamani Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Rais wa Master Card kanda ya Afrika ya kati, Bw. Michael Mieback, akiwahutubia wadau wa Benki ya NMB wakati wa hafla ya uzinduzi wa kadi...

 

9 years ago

Habarileo

Mbeya City, Simba leo ni leo

WATACHOMOKA? Hakika Wekundu wa Msimbazi wameweka dhamira kuwa wanataka kuvunja mwiko katika viwanja vyote vigumu ikiwemo katika mchezo wa leo dhidi ya Mbeya City utakaochezwa Sokoine jijini Mbeya kwa kuhakikisha wanapata pointi tatu muhimu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbeya City yaivaa Victoria leo

City ilitinga robo fainali baada ya kuifunga Academie Tchite ya Burundi kwa mabao 3-2, kabla ya kufungwa na AFC Leopards ya Kenya 2-1,  kulazimishwa sare na Entincelles ya Rwanda.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbeya City kuipa taji Azam FC leo?

KIVUMBI cha kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kitaendelea tena leo kwa mabingwa watetezi, Yanga na vinara wa ligi hiyo Azam kushuka katika viwanja tofauti kuwania pointi tatu muhimu....

 

11 years ago

Mwananchi

Mbeya City yaua, Prisons v Simba leo

Mbeya. Mbeya City imeichakaza Rhino Rangers kwa mabao 3-1  jana kwenye Uwanja wa Sokoine, wakati ndugu zao wa Tanzania Prisons, leo wataivaa Simba kwenye uwanja huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani