Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Karenzi Kareke ameachiliwa kwa dhamana

Kiongozi wa ujasusi wa Rwanda anatarajiwa kufika mahakamani hivi leo

Kiongozi wa ujasusi wa Rwanda ameachiliwa kwa dhamana.

Luteni jenerali Karenzi Karake ametakiwa kufika kwenye kituo cha polisi kila siku.

Luteni jenerali Karenzi Karake alikamatwa siku ya jumamosi katika uwanja wa ndege wa Heathrow Jumamosi iliyopita chini ya kibali cha kukamatwa cha ulaya.

nullWaandamanaji wanaopinga kukamatwa kwa KK wako nje ya ubalozi wa Uingereza Kigali

KK anatakiwa na Madrid kuhusiana na vifo vya wafanyikazi...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Karenzi Kareke kufikishwa mahakamani leo

Kiongozi wa ujasusi wa Rwanda anatarajiwa kufika mahakamani hivi leo kuhusu madai ya uhalifu wa kivita yanayomkabili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Daniel Ceballos ameachiliwa huru

Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Venezuela Daniel Ceballos ameachiliwa kutoka kifungoni na kuwekwa chini ya kizuizi cha nyumbani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je, Karenzi Karake ni nani?

Nchini Rwanda anajulikana zaidi kwa jina fupi KK.luteni jenerali Karenzi Karake, ana mwenye umri wa miaka 54

 

10 years ago

BBCSwahili

Karenzi Karake akamatwa Heathrow

Mkuu wa upelelezi nchini Rwanda,ambaye alikuwa anasakwa nchini Hispania kwa makosa ya uhalifu wa kivita, amekamatwa mjini London.

 

9 years ago

Mwananchi

Hasanoo huru kwa dhamana

Baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miaka mitatu hatimaye Mwenyekiti wa Chama cha Soka Pwani (Corefa), Hassani Othman maarufu kama Hasanoo ameachiwa huru kwa dhamana katika Mahakama ya Kisutu.

 

9 years ago

GPL

MASHA AACHIWA KWA DHAMANA

Lawrence Masha akiwa na wanachama wa Ukawa baada ya kuachiwa. Baada ya jana kulala mahabusu ya segerea, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha leo ameachiwa kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya dhamana. Masha, ambaye anashitakiwa kwa kosa la kuwazuia Polisi wasifanye kazi ikiwa ni pamoja na kuwatolea lugha ya matusi. Jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo alisomewa mashtaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Mansour aachiwa kwa dhamana Z’bar

Mahakama Kuu ya Zanzibar imemwachia kwa dhamana waziri wa zamani wa SMZ, Mansour Yusuph Himid ikisema hakuna kosa lisilokuwa na dhamana Zanzibar kwa mujibu wa sheria kwa kuwa si hatari kumiliki silaha, bali matumizi yake ndiyo hatari.

 

9 years ago

Mwananchi

Lema, wenzake waachiwa kwa dhamana

Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema na wenzake wanne wameachiliwa kwa dhamana leo baada ya kushikiliwa na polisi tangu jana.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AKAMATWA NA KUACHIWA KWA DHAMANA

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' . Baada ya wacheza shoo wake kukamatwa, hatimaye Diamond naye ajisalimisha polisi Kituo cha Polisi cha Oyster Bay, alihojiwa kwa masaa kadhaa kisha kuachiwa kwa dhamana baada ya kukabidhi sare za JWTZ  kituoni hapo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani