Kesi ya Al Jazeera Misri yarejelewa
Wakuu wa mahakama Misri wameamua kurudia kesi ya waandishi wa habari wawili wa Al Jazeera walioko bado kifungoni
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili17 Jun
Misri kumuachilia mwanahabari wa Al Jazeera
9 years ago
BBCSwahili23 Sep
Wanahabari wa Al-Jazeera wasamehewa Misri
10 years ago
BBCSwahili30 Jul
Al Jazeera:Kesi Imeahirishwa tena
9 years ago
BBCSwahili30 Aug
Misri yapinga malalamiko ya kesi
11 years ago
BBCSwahili08 Jan
Kesi ya Morsi kuendelea Misri
10 years ago
BBCSwahili27 Sep
Kesi ya Mubarak yaahirishwa nchini Misri
10 years ago
BBCSwahili01 Jan
Kesi ya Greste na wenzake kurudiwa Misri
11 years ago
BBCSwahili25 Mar
Kesi dhidi ya watu 700 imeanza Misri
9 years ago
StarTV29 Dec
 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.
Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.
Baada ya uchaguzi mkuu...