Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAFUFU ASHUSHIWA KIPIGO NA MKEWE!

KIPIGO! Licha ya kujulikana na kuogopeka kwa ukorofi na ubabe uliopitiliza, muigizaji wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu, amechezea kichapo kutoka kwa mkewe wa ndoa, Salma Mafufu kwa kile kilichoelezwa kuchelewa kurudi nyumbani....Soma zaidi===>http://goo.gl/bFk7Nj

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAFUFU AMPA MASHARTI MAGUMU MKEWE!

Msanii wa filamu za Bongo, Jimmy Mafufu akiwa na mkewe.
Na Brighton Masalu
SIKU chache baada ya kuripotiwa kutengana na mkewe, msanii wa filamu za Bongo, Jimmy Mafufu ameibuka na ‘kuachia silabi’ zinazoashiria kumpa masharti magumu mwandani wake huyo. Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wetu juzi, Mafufu alisema kwa kuwa mkewe aliamua kuita waandishi wa habari wakati wa kuondoka hata wakati wa kurejea...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi wa Camatec ashushiwa tuhuma nzito

Kaimu mkurugenzi mkuu wa Shirika la Vifaa vya Kilimo na Teknolojia (Camatec), Elfariji Makongoro ameshushiwa tuhuma nzito za matumizi mabaya ya mali za umma mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi, ikiwamo kutumia magari ya shirika kwenye harusi ya mpwa wake.

 

10 years ago

Bongo5

Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!

Rapper wa Marekani, Earl Hayes amemuua mke wake Stephanie Moseley aliyekuwa staa kwenye kipindi cha “Hit the Floor” cha VH1 kwa risasi na yeye kujiua kutokana na wivu wa mapenzi. Stephanie Moseley Hayes alikuwa ameumizwa na uhusiano wa kimapenzi aliokuwa nao mke wake na Trey Songz. Stephanie Moseley aliuawa nyumbani kwao na mume wake huyo […]

 

9 years ago

Bongo Movies

Mafufu ‘Kufia’ UKAWA

Muandaaji na muigizaji wa filamu , Jimmy Mafufu amesema hawezi kuhama Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa sababu  kila upande wa siasa una changamaoto zake.

Mafufu amesema alihama Chama cha Mapinduzi (CCM) na kwenda UKAWA kwasababu matatizo mengi yanayohusiana na sanaa ya filamu  yalikuwa hayajapatiwa ufumbuzi na serikali yake.

Ameseme yupo  UKAWA iliyomsimamisha Edward Lowassa kuwa mgombea Urais  wake katika uchaguzi wa mkuu mwezi ujao kwasababu anaamini atafikia malengo aliyojiwekea...

 

9 years ago

GPL

MAFUFU: SIWEZI KUHAMA UKAWA

Nyota wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu. SHANI RAMADHANI NYOTA wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu amefunguka kuwa hawezi kuhama Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa sababu kila upande wa siasa una changamoto zake. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Mafufu alisema kutokana na namna siasa zinavyokwenda, mtu hatakiwi kuwa wa kuhamahama kila siku kwa ajili ya kitu fulani wakati kila sehemu kuna changamoto zake. “Nilihama CCM na...

 

9 years ago

GPL

MAFUFU AKUBALI KUITWA ZOBA

Imelda mtema Muigizaji wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu amefunguka kuwa kwa mke wake yuko tayari watu wamuite majina yoyote yale wanayoyapenda hata wakimuita zoba kwa kumpenda mkewe haoni tatizo. Akizungumza na gazeti hili, Mafufu alisema mke wake ambaye wamejaaliwa mtoto mmoja aitwaye Ronaldo, ndiye ‘kiboko yake’ hata kama kuna upungufu unaotokea kati yao, wanamalizana ndani na maisha yanaendelea.  ....Soma...

 

11 years ago

GPL

MAFUFU AWABWA-TUKIA MASTAA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu amewabwatukia mastaa wenye tabia za  chuki za kuwaroga wenzao na kuwarudisha nyuma kimaendeleo. Jimmy Mafufu. Akichonga na paparazi wetu, Mafufu alisema anashangazwa jinsi wasanii wasivyopenda mafanikio ya wengine wakati usanii hauna uhusiano wowote na chuki, fitna na majungu. “Hii ni roho mbaya na ya kishetani, yaani wasanii wengi wamejiingiza kwenye...

 

10 years ago

GPL

MAFUFU AMSHUSHA RADO GARINI

Stori: Hamida Hassan/Risasi MWIGIZAJI Jimmy Mafufu amenaswa akimshusha kwa nguvu mwigizaji mwenzake Rado alipomuomba lifti ya kwenda Kariakoo wakitokea Mwanyamala, Demag Hotel. Mwigizaji wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu. Paparazi wetu alimshuhudia Mafufu akimshusha kwa nguvu Rado kwenye gari lake aina ya Toyota Passo kwa kile alichodai hayupo tayari kumpakiza kwani hajui kwenye gari hilo jipya ameweka nini.
“Shukashuka,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani