MAFUFU AWABWA-TUKIA MASTAA
![](http://api.ning.com:80/files/pVOWqi0dq19my66at3UMHYho*l-COSthcvpyVEIwNkwNN-g8Yf8jEyMdeQ2vc13yQB-TodEhCULPE4ylNaVAZ1L-c7hB9FVI/mafufu.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu amewabwatukia mastaa wenye tabia za chuki za kuwaroga wenzao na kuwarudisha nyuma kimaendeleo. Jimmy Mafufu. Akichonga na paparazi wetu, Mafufu alisema anashangazwa jinsi wasanii wasivyopenda mafanikio ya wengine wakati usanii hauna uhusiano wowote na chuki, fitna na majungu. “Hii ni roho mbaya na ya kishetani, yaani wasanii wengi wamejiingiza kwenye...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxY86mIhSd1SkilbzSd1sHMUhbJLy3nt4AkE-9m2oiCzgzDfjO5mZUemaejGaS1vIRh-d9BPEXH*Ma5pOUp424Oj/CATHY.jpg?width=650)
ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME
9 years ago
Bongo Movies21 Sep
Mafufu ‘Kufia’ UKAWA
Muandaaji na muigizaji wa filamu , Jimmy Mafufu amesema hawezi kuhama Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa sababu kila upande wa siasa una changamaoto zake.
Mafufu amesema alihama Chama cha Mapinduzi (CCM) na kwenda UKAWA kwasababu matatizo mengi yanayohusiana na sanaa ya filamu yalikuwa hayajapatiwa ufumbuzi na serikali yake.
Ameseme yupo UKAWA iliyomsimamisha Edward Lowassa kuwa mgombea Urais wake katika uchaguzi wa mkuu mwezi ujao kwasababu anaamini atafikia malengo aliyojiwekea...
9 years ago
GPLMAFUFU AKUBALI KUITWA ZOBA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/h04tScqf3LaHDD*cMzrj9MkDutGiuu7yea9K-7F9av5-O4KHQDIl-hj0dIpDJ5ULl7KHnv9L1Awp2OemwCX1Rnck3eyCq-ff/Mafufu.jpg)
MAFUFU ASHUSHIWA KIPIGO NA MKEWE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yKWLMefqYByjRN4389TX3KsJgcOFbyI4bxGH1NefARP6C*nBy6djH91f1M5wwFH06VHLc7bZ1Z01wcGvuXv2K3HsW41wFpne/rado.jpg?width=650)
MAFUFU AMSHUSHA RADO GARINI
9 years ago
GPLMAFUFU: SIWEZI KUHAMA UKAWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLafOPQWc3J5IDK5If2jR24-GlhLiLMFD8Q3I8zqwUwmcSReHz79FrVuVILw*Fyenp5DZDw-cj*nnv9Oqt3oMRtZx/BACKIJUMAA.jpg?width=650)
MKE WA MAFUFU ABEBA VIRAGO!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NpAlVAvTs3O6Upk*Q-pRFfG8mhbJvH3sdw3X94z2aEK6rz3Tn5Yqc5-g9*4DVTM6Z9KZkCb5Y65F8cZucNqGQkqyR9jrmfAW/3R1.jpg?width=650)
MAFUFU: MASHABIKI WANANITAKA KIMAPENZI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vuUh0rgUyT6AkBpsbpye8yIkwaB*q1NNlgcwfU0oc8wt6s3IiQ8GZrt8FV2gNklnkgUdesW0ciV5duSMs*7hwY605AEylTED/mafufu.jpg)
MAFUFU AUGUA, ASHINDWA KUMZIKA KUAMBIANA