MAINDA KUFANYA MAPINDUZI YA INJILI

Stori: Mayasa Mariwata STAA wa filamu Bongo ambaye aliamua kuachana na mambo ya dunia na kuokoka, Ruth Suka ‘Mainda’ amepania kufanya mambo makubwa katika muziki wa Injili ili afike anga za kimataifa. Staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’. Akistorisha nasi, Mainda alisema kutokana na muziki huo kuonekana kufanya vizuri zaidi nyumbani kuliko nje, yeye anataka afanye zaidi katika levo za kimataifa....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MAINDA AGEUKIA KUIMBA INJILI
10 years ago
Michuzi
MSAMA AWATAKA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI KUFANYA KAZI YA MUNGU NA SI MAMBO YA SIASA.

Msama ameyasema hayo wakati tukielekea kwenye uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na urais unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Msama anasema karipio hilo linawahusu pia viongozi wa dini wakiwamo Wachungaji na Maaskofu ambao wanaonesha nia ya kutaka...
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Serikali kufanya mapinduzi ya viwanda
5 years ago
Michuzi
CWT YAAHIDI KUFANYA MAPINDUZI KATIKA SOKA HAPA NCHINI-ALAWI

Hatua hiyo inatokana na mikakati kabambe inayotarajia kuwekwa na Walimu kupitia uongozi wa Makao Mkuu, mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi Mkuu wa chama hicho unaotarajia kufanyika Mei 28 mwaka huu.
Hayo yalielezwa na Mwalimu Abubakari Alawi akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Kibaha,ambaye ni mgombea wa nafasi ya Mhazi...
5 years ago
Michuzi
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT SHEIN JIJINI DODOMA


10 years ago
Mwananchi12 Jan
Wasomi: Mapinduzi Z’bar yawe mapinduzi ya fikra
11 years ago
GPL
MAINDA: BORA NIZAE
11 years ago
GPL
MAINDA AGOMBANA KANISANI
10 years ago
GPL
MAINDA ALILIA MTOTO