MATAPELI WAMTUMIA DAVINA FACEBOOK
![](http://api.ning.com:80/files/UeiAtiGk5fnIczkO*AJBaQtvqz4BiG5dKjMPfUgnzmDk8tAJ1hY7bZ86YZHV*bQ5zID1cGvHtG9n9pfxSm5pN1ZzT60GsaT4/dude.jpg)
Stori: Imelda Mtema WALE matapeli wanaotumia jina la Tanzania Loans, ambao huwadanganya watu kuwa wanatoa mikopo isiyo na riba, wameingia kwenye akaunti ya msanii wa filamu, Halima Yahaya ‘Davina’ katika mtandao wa facebook na kuwataka watu kuchangamkia mikopo hiyo. Msanii wa filamu, Halima Yahaya ‘Davina’. “Unajua mpaka sasa watu hawanielewi kabisa mimi, wanajua ni kweli ndiye niliyeandika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm0*MSulWnb28nT0WdaiFZjITBOe6hGgJxugDtn2QGcEOI6J-Nk7OohxqEDUJCXT3yAV7B7oFylm3ZgQjih4D2ny/AMVCATrophy1.jpg)
LULU ALIA NA MATAPELI WANAOTUMIA JINA LAKE FACEBOOK
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.
Gazeti hilo limedai kuwa Davina alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.
Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Wazazi wamtumia mwana wao kama 'chambo'
10 years ago
Bongo519 Nov
Facebook kuja na mtandao mpya ‘Facebook at Work’
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Matapeli hawa wasakwe
MOJA ya habari zilizimo kwenye Gazeti hili leo, inazungumzia kuibuka kwa kundi la matapeli linaloliza watu mamilioni ya fedha kwa kisingizio kwamba wanaweza kuwasaidia kupata ajira katika baadhi ya idara...
10 years ago
Bongo Movies08 May
Matapeli Wamlostisha Snura
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ amefunguka kwa kusema kuwa mtu aliyeteka namba yake ya simu na kuitumia akiomba fedha na kuitumia kama ni yeye amemfanye apate matatizo na usumbufu usio na manufaa zaidi ya kumkera katika shughuli zake.
“Aliyenifanyia ujinga wa kuharibu namba yangu ya simu na kuanza kuitumia yeye kama mimi si siri amenitia umaskini kwa wakati ule kwani baadhi ya wateja wa kazi zangu walikuwa wakitumia kwa mawasiliano na mimi, lakini...
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Matapeli 15 wa viwanja wadakwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pVOWqi0dq18Kmi4uAEdClwq11yB7YhvPRlJMpS76HMB2bFG9NM*DSHVhm-IH3KC9jhANrAvoYNjczo5XmOHvotRwp9GKPhia/nora.jpg?width=650)
NORA ATESWA NA MATAPELI
9 years ago
Habarileo02 Sep
Tasaf yadhibiti matapeli
MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) katika Manispaa ya Kigoma umesema umeweza kudhibiti udanyanganyifu wa majina ya watu ambao hawapaswi kuhudumiwa na mfuko huo katika mpango wa kusaidia kaya masikini.