Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAYA: ATAKAYENIOA ATAFAIDI

Na  Hamida Hassan
MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amesema licha ya kuwa bado hajaolewa lakini atakayemuoa atafaidi mapishi yake kwani ni fundi wa kupika. Mayasa Mrisho ‘Maya’. Maya alifunguka hayo juzikati wakati paparazi wetu alipombananisha juu ya uwezo wake kwenye ‘sekta’ ya mahanjumati ndipo alipofunguka kuwa yeye ni hodari katika eneo hilo. “Wee… mi noma...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: One Six — Maya

Video mpya kutoka kutoka kwa msanii One six ngoma inaitwa “Maya” Video imeongozwa na Erick Backamaza

 

11 years ago

Dewji Blog

Maya Angelou Dies at 86

mayaangelou

Renowned writer, actress and civil rights activist Maya Angelou has died, according to CNN. She was 86.

Angelou died at her home in Winston-Salem, N.C., her publicist said. Her son posted teh following statement on Facebook: “Her family is extremely grateful that her ascension was not belabored by a loss of acuity or comprehension. She lived a life as a teacher, activist, artist and human being. She was a warrior for equality, tolerance and peace. The family is extremely appreciative of...

 

10 years ago

GPL

MAYA: SIJAPOTEZWA KISANAA

Stori: Gladness Mallya Mnanikosea! mwigizaji wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa watu wanaomsema kuwa amepotezwa kisanaa wanamkosea kwani anafanya sanaa kwa malengo. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’. Maya alitoa kauli hiyo wikiendi iliyopita baada ya kusambaa kwa taarifa mitandaoni kuwa amepotezwa kisanaa na wasanii chipukizi kiasi cha kumfanya asisikike kama...

 

11 years ago

GPL

MAYA AIKACHA KANUMBA THE GREAT

Stori: Emelder Tarimo NDO basi tena! Staa wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa kwa sasa amejikita katika kupiga kazi za nje ya Kampuni ya Kanumba The Great Film hivyo asiulizwe kuhusu kampuni hiyo aliyofanya nayo kazi kwa muda mrefu. Staa wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’. Akichonga na mwanahabari wetu, Maya alitiririka kuwa ameamua kuiweka kando kampuni hiyo na kujikita...

 

11 years ago

GPL

MAYA ANGELOU, AFARIKI DUNIA

Mwandishi wa vitabu na mwanaharakati mashuhuri wa Marekani,Maya Angelou enzi za uhai wake. Akiwa mmoja wa waandishi maarufu zaidi kwa miaka 50, Angelou anajulikana zaidi kwa kitabu chake cha mwaka 1969, I Know Why the Caged Bird Sings. Kilikuwa ni kitabu cha kwanza kati ya saba ya vitabu kuhusu maisha yake kuanzia mateso aliyopata miaka ya 1930s. I Know Why the Caged Bird Sings, kilichoandika kuhusu ubaguzi wa rangi na mateso...

 

10 years ago

GPL

MAYA: MIMI SIYO MGUMBA

Gladness Mallya MSANII mkongwe kwenye gemu la filamu Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kwamba siyo mgumba wala hana gundu ila ni muda tu haujafika wa kuzaa au kuolewa. Maya aliyasema hayo kutokana na maneno ya watu wanaomuandama kwamba hazai na ana gundu ndiyo maana haolewi ambapo alisema siyo kweli ila anasubiri wakati ukifika atazaa kwani ana uzazi na hajawahi kutafuta mtoto na kumkosa. “Bado sijapata...

 

11 years ago

Mwananchi

Ndoto za Maya zaanza kutimia

Wiki iliyopita tuliona namna ambavyo Maya ameanza kukubalika kwenye nyumba ya Lim kutokana na kuonyesha mapenzi ya hali ya juu kwa Abby, hali inayomfanya kukubaliwa ombi lake la kurudi shule.

 

11 years ago

GPL

MAYA ALIA NA WANAUME WAKWARE

Stori: Erick Evarist MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa anashindwa kufikiria suala zima la ndoa kwani wanaume wengi ni waongo ‘wakware’. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’. Akipiga stori na safu hii, Maya alisema umefika wakati hata ndoa zenyewe zinakuwa chache kwani uaminifu haupo ndiyo maana amekuwa makini  katika eneo hilo....

 

11 years ago

GPL

MAYA: SIJAONA WA KUZAA NAYE

Stori: imelda Mtema Msanii mahiri wa filamu za hapa Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa katika pitapita zake zote bado hajaona mwanaume ambaye anaweza kuwa naye na kumzalia mtoto kwani wote anawaona ni waluwalu. Staa wa Bongo Buvi Mayasa Mrisho, alimaarufu 'Maya'. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Maya alisema kuwa hakuna kitu anachokitamani kama kupata mtoto lakini kila akifikiria mtu anayeweza kupata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani