Mazoezi magumu yaua mabondia
 Wakati matukio ya mabondia kufariki wakiwa mazoezini yakizidi kushamiri Dar es Salaam, imeelezwa kuwa miongoni mwa vyanzo vya vifo hivyo vinatokana na mazoezi magumu na kupunguza uzito bila kufuata utaratibu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo30 Aug
Mabondia watamba kushinda
KUNDI la kwanza la timu ya Tanzania itakayoshiriki Michezo ya 11 ya Mataifa ya Afrika linaondoka leo kwenda Brazzaville, Congo huku timu ya ngumi ikitamba kufanya vizuri katika michezo hiyo.
10 years ago
Habarileo02 Aug
Mabondia 3 wapata medali
MA B O N D I A wa Tanzania wamejihakikishia medali katika mashindano ya majiji ya Afrika Mashariki yaliyotarajia kumalizika jana Mombasa nchini Kenya baada ya watatu kati ya wanne kutinga fainali.
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Mabondia kuzipiga Christimass
10 years ago
Habarileo30 Jul
Mabondia watua Mombasa na matumaini
TIMU ya taifa ya ndondi ya Tanzania iliwasili salama Mombasa, Kenya kushiriki mashindano ya Majiji ya Afrika Mashariki na Kati yaliyoanza kutimua vumbi tangu Jumatatu.
10 years ago
BBCSwahili23 Jun
Mabondia wataka kukumbukwa Kenya
10 years ago
BBCSwahili30 Apr
Mabondia waalikwa Zambia na Serbia
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
BFT yakamilisha leseni za mabondia
SHIRIKISHO la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), limekabidhi leseni za mabondia watakaoshiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Scotland, kwa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC). Akizungumza jijini Dar es Salaam...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Tuzo za mabondia sasa Jan. 25
ZILE tuzo za mabondia na waandishi wa habari waliofanya vema mwaka 2013 sasa zinatarajiwa kutolewa jijini Dar es Salaam, Januari 25. Awali tuzo hizo zilikuwa zitolewe Desemba 28 mwaka jana,...
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Mabondia wa Tanzania waliopigwa KO za hatari