Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MELI ILIYONASWA NA ‘UNGA’

Stori:  Waandishi Wetu
WIKI iliyopita Jeshi la Polisi Kikosi Kazi cha Wanamaji Tanzania, walikamata shehena ya madawa ya kulevya ‘unga’ wenye thamani ya mabilioni ya shilingi zikiwa ndani ya meli. Wairan wakipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar. Taarifa za uhakika zinadai kuwa meli hiyo ambayo ni mali ya Kampuni ya  Almansoor SA ya Iran ilikamatwa Jumanne iliyopita katikati...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

UN yatetea meli iliyonaswa Mombasa

Umoja wa Mataifa umepuuzilia mbali madai kwamba silaha zilizopatikana ndani ya meli iliyozuiliwa na maafisa wa Kenya katika bandari ya Mombasa zilikuwa haramu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Utata kuhusu Heroine iliyonaswa Kenya

Kenya imelalamika kuwa haikupewa taarifa zozote kuhusu dawa za kulevya zilizonaswa na wanajeshi wa Australia wanaoshika doria katika ufuo wa bahari Hindi,ufukweni mwa Kenya.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Meli ya matibabu kuzinduliwa Mwanza


NA MWANDISHI  WETU, MWANZA
MRADI wa meli ya huduma za matibabu, ulio chini ya  Dayosisi ya Africa Inland Church Tanzania (AICT), mkoani hapa, unatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.
 Askofu Mkuu Dayosisi ya Geita, Musa Magwesela, alisema meli hiyo inatarajia kutoa huduma za matibabu katika visiwa mbalimbali vilivyopo ndani ya ziwa Victoria na mikoa ya Geita, Kagera na Mwanza.
Alisema Ziwa Victoria lina takribani visiwa 90 huku, vikikisiwa kuwa na wakazi wapatao 450,000.
 “Kupitia meli hiyo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meli Jeshi la Uturuki ziarani

MELI nne za kijeshi za Uturuki ‘Barbaros Turkish Maritime Task Group’ (TMTG), zinatarajiwa kutia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam kwa ziara ya kijeshi ya siku nne ambayo itahusisha...

 

10 years ago

Vijimambo

Meli yazama, 13 wahofiwa kufa

Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma, Jafari Mohamed.
Watu 13 wanasadikiwa kufa maji katika Ziwa Tanganyika, baada ya meli ya Mv Mbaga kuzama katika ziwa hilo usiku wa kuamkia Jumapili.

Tukio hilo lilitokea katika kijiji cha Kala, kilichopo mkoani Rukwa wakati meli hiyo ikitokea Mpulungu, Zambia kuelekea Burundi.

Mwakilishi wa meli hiyo mkoani Kigoma, Juliana Zakenda, alisema meli hiyo ilikuwa imebeba wafanyakazi 14 na tani 437 za mahindi.

Alisema kati ya wafanyakazi hao, ni mmoja tu alieokolewa ...

 

11 years ago

Mwananchi

Meli ya Kikwete kukamilika 2016

Siku kama ya leo mwaka 1996, ilikuwa ni vilio kila kona ya nchi, lakini Kanda ya Ziwa iliathirika zaidi na kuzama kwa meli ya Mv Bukoba na kuteketeza mamia ya wananchi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Meli ya uvuvi ya Urusi yazama

Boti ya uvuvi ya Urusi imezama katika visiwa vya Kamchatka,ikiwa na mabaharia wapatao hamsini na wanne ambao wamekufa maji wote.

 

10 years ago

BBCSwahili

Meli ya uokoaji yasababisha vifo

Furaha ya kuokolewa na hatimaye kufika Ulaya yasababisha mamia ya wahamiaji kufa kutokana na kuzama kwa boti yao

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani