Mgogoro Manyoni, Sikonge umepatiwa ufumbuzi-Serikali
SERIKALI imesema mgogoro wa mpaka kati ya Wilaya ya Manyoni na Sikonge ulipatiwa ufumbuzi tangu mwaka 2010. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 Jul
Manyoni kuondoa ombaomba kandokando ya barabara kuu ya Dodoma-Manyoni
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, Bi Fatma Hassani Toufiq katika moja ya shughuli za kujenga taifa mkoani Singida.(Picha na Jumbe Ismailly).
Na Jumbe Ismailly,Manyoni
MAKAZI ya walemavu na wasiojiweza ya Sukamahela,wilayani Manyoni,Mkoani Singida yalianzishwa mwaka 1974 katika Kijiji cha Sukamahela,kata na tarafa ya Kilimatinde chini ya Idara ya Ustawi wa jamii kwa dhamana ya serikali.
Makazi hayo yaliyoanzishwa mwaka 1974 yalikuwa na walemavu 148 wakiwemo wanaume 57,wanawake 51,watoto wa...
11 years ago
Dewji Blog02 Jul
Serikali yapeleka neema ya maji Manyoni, kutumia Bil moja na nusu
Picha juu na chini ni Naibu Waziri wa Maji, Mh. Amos Makala, akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa kijiji cha Makale na Itagata jimbo la Manyoni magharibi.Makala alikuwa jimbo la Manyoni magharabi kwenye ziara ya kikazi ya siku moja.Kushoto ni mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi, John Paulo Lwanji.
Na Nathaniel Limu, Manyoni
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala (Mb), amefanya ziara ya kikazi katika wilaya ya Manyoni mkoa wa Singida na kutangaza neema ya maji baada ya kusema kuwa...
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Apr
Serikali yamaliza mgogoro Hifadhi ya Saadani
NA CHRISTOPHER LISSA
HATIMAYE serikali imeumaliza rasmi mgogoro wa ardhi uliodumu kwa kipindi kirefu baina ya Wizara ya Maliasiali na Utalii na Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, unaohusisha eneo Hifadhi ya Taifa ya Saadani.
Aidha serikali imeiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo , kukaa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na wadau, kurejea mipaka ya zamani ya eneo hilo, ili kuepusha mgongano usio na tija.
Mgogoro huo uliibuka mwaka mwaka 2005, baada ya serikali kuipandisha...
10 years ago
Habarileo02 Jun
Kamala: Mgogoro Loliondo unashughulikiwa na Serikali
BALOZI wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dk Diodorus Kamala ameliambia baraza la mabalozi wa nchi za kundi la Afrika, Caribbean na Pasifiki (ACP) kuwa Serikali ya Tanzania imeanza kuchukua hatua za kutatua mgogoro wa ardhi katika eneo la Loliondo.
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
‘Serikali haina taarifa mgogoro wa mpaka Pemba’
WAZIRI wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe, amesema serikali haijapata taarifa zozote kutoka Kenya kuhusu mgogoro wa mpaka kati ya nchi hiyo na Somalia...
10 years ago
Mwananchi07 Apr
Minja: Serikali haiwezi kutatua mgogoro uliopo
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Kilufi: Serikali iingilie kati mgogoro Kapunga
MBUNGE wa Mbarali, Modestus Kilufi, ameiomba serikali kuingilia kati msimamo wa mwekezaji wa Shirika la Kapunga kukaidi maamuzi ya kamati ya halmashauri ya ujenzi wa barabara. Akizungumza na Tanzania Daima...
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Serikali yakiri kuwepo mgogoro ranchi ya Kalambo
SERIKALI imekiri kuwepo kwa mgogoro kati ya wananchi wa Kijiji cha Katapulo na ranchi ya Kalambo, mkoani Rukwa. Hata hivyo, imesema iko katika mchakato wa kuhakikisha inamaliza migogoro hiyo hata...
10 years ago
Michuzi
SERIKALI YAMALIZA MGOGORO NA WAFANYABIASHARA JUU YA MATUMIZI YA EFDs

Na Anitha Jonas – MAELEZO.
Serikali yafikia muafaka...