Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miliband asema yuko tayari kuongoza

Kiongozi wa chama cha Labour nchini Uingereza Ed Miliband amesema chama chake kitabadili namna nchi inavyoendeshwa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Miliband asema yuko tayari kumrithi David Cameron.

Kiongozi wa chama cha upinzani cha Labour nchini Uingereza, Ed Miliband amesema chama cha Labour kitabadili namna nchi inavyoendeshwa na nani wa kuiendesha.”

Miliband amesema hayo wakati akizindua ilani ya uchaguzi ya chama hicho.

Amesema amepimwa kama kiongozi wa upinzani na yuko tayari kwa wadhifa huo, Bwana Miliband amesema chama cha Labour kitakuwa “chama cha mabadiliko na uwajibikaji”.

Amekataa “orodha ya mapendekezo”, yakihakikisha kuwa sera zote hazitahitaji ukopaji wa ziada.

Lakini...

 

11 years ago

Mwananchi

JOTO 2015: Mrema asema yuko tayari kumkabili Mbatia

Mbunge wa Vunjo, Augustino Mrema (TLP) amesema amejiandaa kuingia ‘vitani’ na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ambaye ametangaza kuwania ubunge katika jimbo hilo, mwaka 2015.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rummenigge:Blatter yuko tayari kubadilika

Rais wa FIFA Sepp Blatter yuko tayari kubadilika,kulingana na mtu anayewakilisha zaidi ya vilabu 200 barani Ulaya.

 

9 years ago

Habarileo

Ndayisenga yuko tayari kutua Simba

MSHAMBULIAJI wa Burundi, Kevin Ndayisenga amesema kwamba yuko tayari kurejea Simba wakati wowote iwapo timu hiyo itafikia makubaliano na meneja wake, Dennis Kadito.

 

9 years ago

BBCSwahili

Trump yuko buheri wa afya, daktari asema

Daktari wa mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump amesema mfanyabiashara huyo mashuhuri yuko buheri wa afya na hana matatizo yoyote makubwa ya kiafya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mama Maria Nyerere asema yuko hai

''Niko salama na buheri wa afya''Hayo ni maneno ya Mama Maria Nyerere ,mjane wa rais wa kwanza wa taifa la Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

 

10 years ago

Bongo5

AY akanusha kuwa na mahusiano na Sitti Mtemvu na Victoria Kimani, asema kwa sasa yuko single

Miongoni mwa watu maarufu wa Bongo ambao huwa hawapendi kuweka hadharani mahusiano yao ya kimapenzi ni pamoja na Ambwene Yessaya a.k.a AY. Baada ya kumuweka hadharani mchumba mpenzi wake 2013, AY amesema kwa sasa yupo single tena. AY na aliyekuwa mchumba mwenye mchanganyiko wa Yemeni na Shelisheli, kwenye Red Carpet ya Road to CHOAMVA 2013, […]

 

9 years ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA CCM TAIFA AWASILI DODOMA TAYARI KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  kwenye uwanja wa Ndege wa  muda mfupi kabla ya kuelekea Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu. Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikweteakisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Alhaji Adam Kimbisa mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha  Kamati Kuu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani