Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moto wa Magufuli waichoma Tanesco

MAGUFULIMOTO wa utendaji kazi wa Rais Dk.John Magufuli umetua ndani ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) baada ya shirika hilo kuwafukuza kazi mameneja, wahandisi na wahasibu kutokana na ubadhirifu mkubwa.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Felchesmi Mramba amesema   uamuzi huo umechukuliwa kupambana na vitendo vya wizi na ubadhirifu vinavyofanywa na wafanyakazi wasiokuwa waadilifu.

“Tumechukua uamuzi mgumu wa kuwafukuza maofisa wetu kutokana na kujihusisha na vitendo mbalimbali.

“Huu ni mwanzo tu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MOTO WAUNGUZA KITUO CHA TANESCO KURASINI, DAR

HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba kituo cha Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) kilichopo eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam kinaungua kwa moto muda huu. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde.

 

10 years ago

Michuzi

TANESCO KILIMANJARO WAFANYA MAREKEBISHO MITAMBO ILIYOUNGUA MOTO

Mafundi wa TANESCO mkoa wa Kilimanjaro wakitizama namna ya kuokoa mafuta yaliyokuwa yakimwagika toka kwenye mtambo wa kupozea umeme.Mafundi wa Tanesco wakiandaa pipa kwa ajili ya kuwekea mafuta yaliyokuwa yakimwagika toka kwenye Transforma.Mafundi wa Tanesco mkoa wa Kilimanjaro wakijaribu kuelekeza mafuta yaliyokuwa yakimwagika kuingia katika pipa.Mafuta yakiwekwa katika Pipa.Mafundi wa Tanesco mkoa wa Kilimanjaro wakijaribu kurudishia mafuta katika mitambo ya kupozea umeme. Mitambo ya kituo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mshale FC waichoma Moro City Mabibo

TIMU ya Moro City ya Mabibo Sokoni jijini Dar es Salaam, juzi ilipata kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Mshale FC katika mechi ya hatua ya makundi ya michuano ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Magufuli azidi kuibomoa CHADEMA Kilimanjaro, awatolea uvivu watendaji TANESCO

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Moshi mjini Ndugu Davis Mosha kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa,mkoani Kilimanjaro jioni ya leo.PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-KILIMANJARO.  Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM
Dk. John Pombe Magufuli na mgombea ubunge wa jimbo la Moshi mjini Ndugu
Davis Mosha wakimsikiliza Bw. Lema aliyekuwa Katibu wa Chadema
wilaya ya Hai wakati alipojiunga na...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AWASHA MOTO SHINYANGA

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Shinyanga mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Kambarage ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa wakati umefika wa kujenga Tanzania mpya yenye viwanda vya kutosha kutoa ajira kwa vijana wengi.
Alisema pia kuwa Serikali yake itakuwa rafiki wa sekta binafsi na kuwajengea uwezo wafanya biashara ndogo ndogo ili waweze kujiendeleza.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk....

 

9 years ago

Raia Mwema

Magufuli ni nguvu ya soda au moto wa gesi?

WIKI iliyopita imekwisha kwa mambo mengi na sijui hadi leo hii mangapi mengine yamefanyika tangu

Lula wa Ndali Mwananzela

 

9 years ago

Bongo5

Uwaziri wa Magufuli wa moto, wabunge wengi waugwaya!

Magufuli

Kuna sababu za kwanini hadi sasa Rais Dk John Magufuli hajatangaza baraza lake la mawaziri licha ya kuwepo ofisini kwa takriban mwezi sasa.

Magufuli

Taarifa zinadai kuwa uwaziri kwenye serikali yake ni mwendo ‘msobe msobe’ na si ule wa kula bata na safari kibao za nje kama ilivyokuwa awamu iliyopita, ndio maana wabunge wengi wanaugwaya.

Infact ndugu yako akiteuliwa na Magufuli kuwa waziri mpe pole badala ya kumpongeza kuwa ameula! Ule usemi Hapa Kazi tu si wa mdomoni na kuvutia kura tu, ndani ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Wanaoiba dawa hospitalini watakiona cha moto

Sumbawanga. Mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli ameendelea kumwaga ahadi mikoa ya Katavi na Rukwa na kuahidi kuwa iwapo atachaguliwa kuwa rais wahudumu wanaoiba dawa katika hospitali nchini watakiona cha moto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani