Mtikila: Wameanza kutufunga ‘Luku’
>Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Mchungaji Christopher Mtikila, amewaacha hoi wajumbe wenzake pale alipotaka kanuni zisiwabane kuwasema vibaya waasisi wa Muungano.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ok30SVir64mDrrktnSe1ax44pDYRSu8-2We5efeva7Yo*gfEFrtqW2w3ll1DbacsjS207X3VVg3tgvNTVayGwltgC6Y73IMF/bunge.jpg?width=650)
USINZIBE MDOMO: WANATAKA KUTUFUNGA, WENYEWE WANAJILINDA!
9 years ago
Habarileo30 Oct
Simba wasema wameanza ligi
Na Mohamed Akida KOCHA wa Simba Dylan Kerr, amesema ushindi katika mechi dhidi ya Coastal Union, ilikuwa ni muhimu kwao bila kujali kiwango kibovu walichokionesha kwenye mchezo huo ambao walishinda kwa bao 1-0. Kutokana na hali hiyo amesema wameanza sasa rasmi mbio za kuelekea katika ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
5 years ago
MichuziWATANZANIA WAMEANZA KUNUFAIKA NA MRADI WA JNHPP
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said amesema kuwa mradi mkubwa wa kufua umeme wa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) umeanza kuwanufaisha Watanzania hata kabla ya kukamilika.
Ameyasema hayo kwa njia ya simu, leo Juni 22, 2020 alipofanya mahojiano na mwandishi wa habari hii kuhusu ziara ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliyoifanya Juni 20, mwaka huu kukagua maendeleo ya Mradi huo ulioko Rufiji, mkoani Pwani.
Mhandisi Said...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/d5hxC5etmnmdJHXc8jaEB-SCzhNZ4WY3TGy3t6thdy*sv3BjWwQ9tF1ZOJkzrA1ibGRzU8EV5npE1r7znNni8sb2JIcJ1osj/JayZandBEyonceromanticwalkINF.jpg?width=650)
BEYONCE, JAY Z MAHABA KAMA WAMEANZA JANA!
9 years ago
Mzalendo Zanzibar25 Oct
Pemba Shwari baadhi ya vituo wameanza kujumuisha
Uchaguzi huu umeenda shwari kabisa watu wamekuwa watulivu na wasikivu,Baadhi ya Vituo PEMBA wameshaanza kujumuisha kura wanasubiri majumuisho ya pamoja kutoka kwenye vituo vyengine, Hadi sasa hali ni shwari ,utaratibu umekwenda uzuri. Vituo vya maeneo ya […]
The post Pemba Shwari baadhi ya vituo wameanza kujumuisha appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi10 Feb
Hata wanafunzi sasa mkoani Kagera wameanza kushtuka
5 years ago
BBCSwahili12 May
Kwa nini Trump na Obama wameanza malumbano mapya kuhusu Flynn?
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Licha ya kuwa na wakati mgumu, Chelsea wameanza kusherehekea Christmas kwa style hii (+Pichaz)
Licha ya kuwa katika wakati mgumu katika michezo ya Ligi Kuu Uingereza, klabu ya Chelsea imeanza kusherehekea sikukuu ya Christmas kwa style hii, mastaa wa klabu ya Chelsea waliamua kuanza kusherehekea Christmas, kwa kutembelea wodi ya watoto ya hospitali ya West London. Mastaa hao wa Chelsea ambao timu yao ipo nafasi ya 16 katika msimamo wa Ligi Kuu […]
The post Licha ya kuwa na wakati mgumu, Chelsea wameanza kusherehekea Christmas kwa style hii (+Pichaz) appeared first on...
11 years ago
Michuzi17 Jun