Mwakyembe: Hatupo tayari kuburuzwa na Kenya
Veronica Romwald na Shamimu Mattaka, Dar es Salaam
SERIKALI ya Tanzania imesema haipo tayari kuburuzwa na Serikali ya Kenya kurekebisha mkataba wa mwaka 1985 unaotoa mwongozo wa ushirikiano katika sekta ya utalii kwa nchi hizo.
Kauli hiyo imekuja baada ya Kenya kuzuia magari ya kitalii yenye usajili wa Tanzania kuchukua na kushusha watalii katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyata (JKIA).
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima08 Nov
Chawata: Hatupo tayari kurubuniwa na wanasiasa
WATU wenye ulemavu wamesema kuwa hawapo tayari kushawishiwa na kutumiwa na wanasiasa katika suala la upigaji wa kura ya maoni bali watahakikisha wanasoma na kuelewa Katiba inayopendekezwa. Akizungumza jana jijini...
10 years ago
Vijimambo30 Jan
Waziri Mwakyembe tayari ndani ya Bunge la Afrika Mashariki leo January 29
10 years ago
MichuziMwakyembe azungumzia Kenya Kuzuia Magari ya Tanzania
9 years ago
Raia Mwema10 Sep
‪Alipo hatupo, tulipo hayupo
Wao wana haki ya kumtaka Lowassa kama Rais wa Tanzania; na sisi tuna haki ya kumkataa Lowassa kam
Mwandishi Wetu
9 years ago
Raia Mwema30 Sep
Serikali kuburuzwa mahakamani
ILIKWISHASEMWA na kufafanuliwa kwa kina; kwamba mkataba wa kitapeli wa miaka 20 kati ya kampuni y
Joseph Mihangwa
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Hatutakubali kuburuzwa bungeni
10 years ago
Mtanzania18 Aug
Bunge kuburuzwa mahakamani
Bunge
NA ABRAHAM GWANDU, ARUSHA
HATIMA ya Bunge Maalumu la Katiba kuendelea na vikao vyake imezidi kuwa shakani baada ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kutangaza kusudio la kwenda mahakamani kesho.
Uamuzi wa TLS umetolewa siku moja baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema kutangaza mkakati mbadala wa kukwamua mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya.
TLS inataka kuiomba mahakama kuzuia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba hadi muafaka wa taifa utakapopatikana ili...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
CCWT: Wafugaji msikubali kuburuzwa
MWANASHERIA Mkuu wa Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT), Malema Christopher amewataka wafugaji kutokubali kuburuzwa na askari wa wanyamapori au watendaji wa kata wanaowageuza shamba la bibi kwa kuwatoza mamilioni ya...
10 years ago
GPLAISHA BUI KUBURUZWA KORTINI