Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAMKE ASUTWA KWEUPE!

Hamida Hassan
MSUTO! Mwanamke aliyetajwa kwa jina la Sina, mkazi wa Kawe jijini Dar amejikuta akisutwa mchana kweupe baada kumvujishia taarifa rafiki yake aitwaye Cheka Komba Mbegere kuwa wanawake wanaojiita Cash Money wanakwenda kumsuta, Risasi Mchanganyiko lilifuatilia hatua kwa hatua. Mwanamke aliyetajwa kwa jina la Sina (mwenye nguo nyekundu mbele kushoto), mkazi wa Kawe jijini Dar akisutwa mchana kweupe  na wanawake...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BINTI MIAKA 14 ASUTWA KWA UTAPELI

Chande Abdallah na Deogratius Mongela
Binti wa miaka (14) aliyefahamika kwa jina la Latifa amejikuta akisutwa kwa utapeli baada ya kunaswa na OFM akijifanya ni mtoto asiye na wazazi wala ndugu wa kumsaidia.Binti huyo aliwasimulia waandishi wetu kuwa baba yake alimtelekeza kwa majirani huko Dodoma maeneo ya Kibaigwa kwa kile alichodai kuwa baba yake alikuwa na madeni yaliyosababisha mali zake kupigwa mnada na yeye kusakwa ndiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe waumbuana kweupe

Wajumbe wa Bunge la Katiba jana waliumbuana bungeni baada ya kueleza udhaifu unaofanyika wawapo ndani ya vikao vya kamati.

 

11 years ago

Habarileo

Rasilimali za nchi zachotwa kweupe

WAWEKEZAJI kutoka nje, wametajwa kugeuka mawakala wa kutorosha fedha nje ya uchumi wa Tanzania, kiasi cha mabilioni ya Dola za Marekani, ambayo yakibadilishwa, yanafikia matrilioni ya Shilingi. Fedha hizo zimekuwa zikiporwa nchini kutoka serikalini kwa maana ya kukwepa kodi na katika jamii, kupitia ununuzi wa bidhaa nje ya nchi, ambazo thamani yake huchakachuliwa kwa kuongezwa kinyume na thamani halisi.

 

10 years ago

Mwananchi

Ndanda yaituliza Yanga kweupe

Yanga imepoteza nafasi ya kukalia usukani wa ligi baada ya kulazimishwa suluhu na wachezaji 10 wa Ndanda FC jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Maadili ya uchaguzi yakiukwa kweupe

MAADILI ya Uchaguzi yaliyosainiwa na vyama 22 vya siasa kuwa vitayatekeleza wakati wa kampeni na baada ya kampeni, yameanza kukanyagwa na baadhi ya vyama hivyo.

 

10 years ago

GPL

APIGWA RISASI MCHANA KWEUPE, AFARIKI

Mwili wa dada huyo baada ya kupigwa risasi na majambazi.
Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliokuwa wanatumia usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda, wamemuua kwa kumpiga risasi dada mmoja ambaye jina lake halijafahamika maeneo ya Kinondoni, Morocco jijini Dar es Salaam baada ya majambazi hayo kuiba katika duka la M-pesa, wakati wanaondoka walikuwa wanarusha risasi ovyo na kumpata dada huyu aliyekuwa akipita njia. ...

 

10 years ago

GPL

ZARI, DIAMOND MAHABA KWEUPE UGANDA

STORI: HAMIDA HASSAN na Musa Mateja
STAA anayetamba na ngoma mpya ya Nitampata Wapi, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mtoto mzuri kutoka Uganda, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wameoneshana malovee hadharani na kuwaacha watu midomo wazi. Nasibu Abdul ‘Diamond’akiwa kwenye pozi na mtoto mzuri kutoka Uganda, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ . Tukio hilo lililoacha historia ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wezi waiba benki ya Barclays Dar kweupe

 Watu watatu wamepora kiasi kikubwa cha fedha katika Benki ya Barclays, Tawi la Kinondoni, Dar es Salaam katika tukio linaloweza kufananishwa na sinema.

 

10 years ago

Vijimambo

BILIONI 600 ZIMEPIGWA MCHANA KWEUPE TUNAISHIA KUJIUZULU

Rais jakaya kikwete.
TUNAAMBIWA wakati tukipata uhuru mwaka 1961, nchi yetu ilikuwa na uchumi sawa na nchi kama Singapore, Malaysia na nyingine nyingi zilizokuwa dunia ya tatu. Leo tunapojifananisha na nchi hizo za Asia, tunaonekana vichekesho.
Lakini si nchi hizo mbili tu, bali kuna mataifa mengi yamefanya vizuri kiuchumi kuliko sisi, hata kwa zile za Afrika, bara ambalo historia inatuambia watawala wake wametawaliwa na tamaa, ubinafsi, chuki na wivu dhidi ya wanaowaongoza.
Ndiyo maana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani