NDOA ZA WAZEE ZATIKISA MOROGORO
![](http://api.ning.com:80/files/bGawF3RRkad2JxFbu7rVp9s5wSdnjcBLx-eD*N430c9GbcJWuKN1jb2r8UJYQDF-sG6gc3fztQXxDgxWjM3NvvfxeLhyp7i4/MoroNdoa.gif?width=650)
Dustan Shekidele, Morogoro SHANGWE! Katika tukio linalotokea kwa nadra, wazee kumi ambao wameishi kinyumba kwa miaka mingi,Jumamosi iliyopita walibariki ndoa zao katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Monica, lililopo Tungi mkoani Morogoro, huku zoezi hilo likitikisa kila kona ya mjini hapa.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1U2ZWZC
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Picha za x zatikisa ndoa ya kigogo!
Aibu ilioje! Picha chafu za ngono ‘X’ za mrembo aliyetajwa kwa jina moja la Mariam, mkazi wa Kinondoni jijini Dar, zinadaiwa kuitikisha ndoa ya kigogo wa sekta nyeti ya fedha baada ya kunaswa kwenye simu yake na mkewe aliyetambulika kwa jina moja la Aneth, wote wakazi wa jijini Arusha.
Kwa mujibu wa Aneth, picha hizo zimeacha mpasuko mkubwa kwenye ndoa yao kwa kuwa mara nyingi amekuwa akimhisi mumewe kutokuwa mwaminifu huku safari za Dar zikiwa hazikauki.
Alisema kuwa, amekuwa akifuma...
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Mazoezi kuimarisha tendo la ndoa hata kwa wazee
10 years ago
MichuziMDAU MAC NAMARA WA GAZETI LA MWANANCHI AFUNGA NDOA MOROGORO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Mwananchi14 Mar
Kauli za viongozi zatikisa nchi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pCnj1SuHrlpaaPAZkwrTcDrIfiLleMNIblewrpv5pZVjD9jjWHLt9yiOKI8f7s2hs5FAZUm2YpFxfil6xWp7-rTKx1QDnCXb/LULU4.jpg?width=650)
PICHA ZA LULU ZATIKISA MITANDAO YA KIJAMII
9 years ago
Dewji Blog11 Nov
MFUMUKO WA BEI: Bidhaa mbalimbali zatikisa soko kuu jijini Mwanza!
10 years ago
VijimamboMATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0
MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-
YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...
5 years ago
MichuziWAZEE WAIPONGEZA SERIKALI SHINYANGA KUPUNGUZA MAUAJI YA WAZEE
Wazee wametoa pongezi hizo leo Machi 11,2020 kwenye kikao cha Baraza la Wazee Mkoa wa Shinyanga, kilichofanyika kwenye hospitali ya rufani ya mkoa wa Shinyanga, kilichokuwa na lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi likiwamo suala la matibabu. Akisoma...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-WsCdAwRNjUc/VKZqpK-gUZI/AAAAAAAAGE4/nanIevZSJwQ/s72-c/20141231_144819.jpg)
MBUNGE WA MOROGORO MJINI,ABOOD ATOA MILION 11 KUTATUA KERO YA MAJI MKUNDI MOROGORO
![](http://1.bp.blogspot.com/-WsCdAwRNjUc/VKZqpK-gUZI/AAAAAAAAGE4/nanIevZSJwQ/s1600/20141231_144819.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-V5RXeu792UM/VKZrY4uEzZI/AAAAAAAAGFg/6ZqRTH0i5Gw/s1600/20141231_144923.jpg)